Nitawaambia nini wanachama? Nitajiunga na CCM ya Mzee Wassira endapo kwa namna yoyote Wajumbe wenzangu Watakula rushwa na kumchagua Mbowe

Hivi kiunyasi kikidondoka kutoka kwenye nyumba itavuja? Hameni tu bwana wala msitutishe!
 
Baada ya trh 21 itajulikana Bora kwenda CCM kuliko kubaki kwenye tawi la CCM-CHADEMA
 
Aisee hii dunia ina watu wapuuzi sana halafu bahati mbaya ndio mnaoungwa mkono
 
Uko sahihi kabisa
 
Sijui ni kitu gani kimemtokea Mbowe, yani kachukiwa ghafla sanaaaa. What happened??
 
Lakiji kama kilichokupeleka Chadema ni Itikadi, na falsafa iliyopelekea kuanzoshwa kwa chama hicho,ninyi ndio msiofahamu mnataka nini.
Wengi hawakujua kiini hasa cha kuanzishwa kwa chadema ni nn? Mbowe mwenyewe kwa kinywa chake ndiyo amewafumbua macho wanachadema wengi aliposema chadema ni mali yake kwa kuwa ametumia fedha zake nyingi kuendesha chadema. Na ndiyo maana hataki kuachia kiti.
 
Mbowe kuwa tena mwenyekiti ni kuifanya Chadema kuwa kigango cha CCM. Wanachama wengi sana hawataiunga mkono Chadema kwa sababu ya Mbowe.
 

Attachments

  • IMG_5035.jpeg
    84.4 KB · Views: 1
Hivi kiunyasi kikidondoka kutoka kwenye nyumba itavuja? Hameni tu bwana wala msitutishe!
Wewe ni mccm, hakuna mwanachadema anayeweza kufurahia kupoteza wanachama kwani mtaji wa chama ni wingi wa wanachama. Baada ya uchaguzi watu wanatakiwa kuwa kitu kimoja siyo huo upuuzi unaosema wewe.
 
Lisu akishinda kura yangu kwa CCM.Lisu hana karama ya uongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…