Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Na ndipo Viongozi wa simba wakaona salama Yao ni kwenda kuongea na makomando wa Yanga wazuie basi la timu ya Simba lisiingie uwanjani.Baada ya kupiga hesabu zao, wakaona watafute tu kisingizio!
Kuanzia kukosekana kwa wachezaji wao muhimu kwa sababu ya majeraha, halafu mwamuzi ni yule jamaa asiye endekeza bahasha!! Wakaona wazi hali itakuwa ni mbaya! Jibu jepesi likawa ni kuuweka tu mpira kwapani.
Nao makomando wa Yanga wakawa waaminifu na watiifu kwa Viongozi wa Simba na kuwazuia wasiingie.
Una hoja.