Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Na ndipo Viongozi wa simba wakaona salama Yao ni kwenda kuongea na makomando wa Yanga wazuie basi la timu ya Simba lisiingie uwanjani.Baada ya kupiga hesabu zao, wakaona watafute tu kisingizio!
Kuanzia kukosekana kwa wachezaji wao muhimu kwa sababu ya majeraha, halafu mwamuzi ni yule jamaa asiye endekeza bahasha!! Wakaona wazi hali itakuwa ni mbaya! Jibu jepesi likawa ni kuuweka tu mpira kwapani.
Tunachofanya leo ni documentation ya kuwa na haki ya kudai point tatu.Eng Hersi na bodi ya timu yetu ni viongozi makini na nawaheshimu sana
Kituko cha Leo Simba kususia mechi,
Naona kanuni ziko wazi na zipo upande wa Yanga
Kwa vyoyote vile mechi haikupaswa kuhairishwa na bodi ya ligi
Hapa wamefanya uhuni
Simba hawakutoa taarifa Kwa management ya uwanja kuwa Kuna ujio wao,
Simba hawakutoa taarifa Kwa mwenyeji wa mchezo ambaye ni Yanga kuwa wangekuja kufanya mazoezi
Muda waliowasili ilikuwa usiku, walitakiwa watoke taarifa ili taa za uwanjani ziwashwe maana uwanja wa Taifa kama hamna mechi wala shughuli yoyote Huwa Kuna Giza
Sasa tunajiuliza Simba walitaka kufanya mazoezi gizani na kutumia tochi za simu😅
Hakuna Kiongozi wa Yanga wala mwajiriwa wa Yanga alikuwa pale
Yanga hawamiliki njia za umeme ili kuwapa mwanga Simba
Yanga nawasihi bodi ya ligi wakiwa mazwazwa wapelekeni CAS
Kule coach wa Stars Amrouch na Samwel Eti waliishitak CAF na wameshindwa na CAF imeamuriwa kuwalipa mamilion ya dollar
Kama watu binafsi wanaishtaki taasisi kama CAF na wanashinda na kupata fidia Yanga mnaogopa nini?
kati ya 60 umechangia nyuzi 54 mpaka sasa na bdo unajiona GTCCM Ndio inapenda vijana Wa Tanganyika waweke nguvu zao huko kwenye simba Na YANGA".
Great Thinker.
Leo Tutaona Nyuzi za Simba na Yanga zaidi ya elfu 60 humu jukwaani.
TUKIWAAMBIA KUSHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA MNAANZA KUWA WA PUMBAVU HAMUELEWI
Hao makomandoo wa Yanga ni akina nani? Hawana majina yao kamili? Una ushahidi gani kama ni makomandoo wa Yanga? Na kwenye timu ya Yanga, hao makomandoo wapo kwenye idara gani? Je, na kiongozi wao ni nani ndani ya klabu ya Yanga?Na ndipo Viongozi wa simba wakaona salama Yao ni kwenda kuongea na makomando wa Yanga wazuie basi la timu ya Simba lisiingie uwanjani.
Nao makomando wa Yanga wakawa waaminifu na watiifu kwa Viongozi wa Simba na kuwazuia wasiingie.
Una hoja.
Achana nao hao mechi ipo, ukurasa wa Club umetoa tayari line upBaada ya kupiga hesabu zao, wakaona watafute tu kisingizio!
Kuanzia kukosekana kwa wachezaji wao muhimu kwa sababu ya majeraha, halafu mwamuzi ni yule jamaa asiye endekeza bahasha!! Wakaona wazi hali itakuwa ni mbaya! Jibu jepesi likawa ni kuuweka tu mpira kwapani.
Acheni kuwakataa wanenu wakati wapo rasmi hadi logo ina watambuaHao makomandoo wa Yanga ni akina nani? Hawana majina yao kamili? Una ushahidi gani kama ni makomandoo wa Yanga? Na kwenye timu ya Yanga, hao makomandoo wapo kwenye idara gani? Je, na kiongozi wao ni nani ndani ya klabu ya Yanga?
Hapa umeonesha wazi ya kuwa wewe ni mbumbumbu.Acheni kuwakataa wanenu wakati wapo rasmi hadi logo ina watambua
View attachment 3263879
Huko CAS bora tusiende. Sisi Utopolo bado tuna kumbukumbu mbaya sana. Morisson, Kambole, na wengine wengi walitugaragaza vibaya sana.Eng Hersi na bodi ya timu yetu ni viongozi makini na nawaheshimu sana
Kituko cha Leo Simba kususia mechi,
Naona kanuni ziko wazi na zipo upande wa Yanga
Kwa vyoyote vile mechi haikupaswa kuhairishwa na bodi ya ligi
Hapa wamefanya uhuni
Simba hawakutoa taarifa Kwa management ya uwanja kuwa Kuna ujio wao,
Simba hawakutoa taarifa Kwa mwenyeji wa mchezo ambaye ni Yanga kuwa wangekuja kufanya mazoezi
Muda waliowasili ilikuwa usiku, walitakiwa watoke taarifa ili taa za uwanjani ziwashwe maana uwanja wa Taifa kama hamna mechi wala shughuli yoyote Huwa Kuna Giza
Sasa tunajiuliza Simba walitaka kufanya mazoezi gizani na kutumia tochi za simu😅
Hakuna Kiongozi wa Yanga wala mwajiriwa wa Yanga alikuwa pale
Yanga hawamiliki njia za umeme ili kuwapa mwanga Simba
Yanga nawasihi bodi ya ligi wakiwa mazwazwa wapelekeni CAS
Kule coach wa Stars Amrouch na Samwel Eti waliishitak CAF na wameshindwa na CAF imeamuriwa kuwalipa mamilion ya dollar
Kama watu binafsi wanaishtaki taasisi kama CAF na wanashinda na kupata fidia Yanga mnaogopa nini?
Yaani Yanga inamiliki makomando?Acheni kuwakataa wanenu wakati wapo rasmi hadi logo ina watambua
View attachment 3263879
Na hii ndiyo sababu.Baada ya kupiga hesabu zao, wakaona watafute tu kisingizio!
Kuanzia kukosekana kwa wachezaji wao muhimu kwa sababu ya majeraha, halafu mwamuzi ni yule jamaa asiye endekeza bahasha!! Wakaona wazi hali itakuwa ni mbaya! Jibu jepesi likawa ni kuuweka tu mpira kwapani.
Mkuu, naomba unipe KANUNI YOYOTE ILIYOITAKA SIMBA SC KUTOA TAARIFA KAMA INAENDA KUFANYA MAZOEZI, NA UNIPE KANUNI ILIYOTAMKA MUDA RASMI TIMU YA SIMBA SC ILITAKIWA KUJA KUFANYA MAZOEZI.Simba hawakutoa taarifa Kwa management ya uwanja kuwa Kuna ujio wao,
Simba hawakutoa taarifa Kwa mwenyeji wa mchezo ambaye ni Yanga kuwa wangekuja kufanya mazoezi
Muda waliowasili ilikuwa usiku, walitakiwa watoke taarifa ili taa za uwanjani ziwashwe maana uwanja wa Taifa kama hamna mechi wala shughuli yoyote Huwa Kuna Giza
Give them bread and circuses, and they will never revolt.CCM Ndio inapenda vijana Wa Tanganyika waweke nguvu zao huko kwenye simba Na YANGA".
Great Thinker.
Leo Tutaona Nyuzi za Simba na Yanga zaidi ya elfu 60 humu jukwaani.
TUKIWAAMBIA KUSHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA MNAANZA KUWA WA PUMBAVU HAMUELEWI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio shida zetu, ubaya ubwela[emoji3]
Unateseka kweli, hadi huruma maskiniii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya kupiga hesabu zao, wakaona watafute tu kisingizio!
Kuanzia kukosekana kwa wachezaji wao muhimu kwa sababu ya majeraha, halafu mwamuzi ni yule jamaa asiye endekeza bahasha!! Wakaona wazi hali itakuwa ni mbaya! Jibu jepesi likawa ni kuuweka tu mpira kwapani.
Ukiangalia sababu yao, utagundua tu ni imani za kishirikina ndiyo zilichangia! Au walikuwa wanatafuta kisingizio cha kuingia mitini.Na hii ndiyo sababu.
Makolo wameiogopa Yanga.
Sababu zao za kususia mechi ni za kitoto na kijinga mno.
Yaani mgeni unaenda Kwa mwenyeji wako bila taarifaMkuu, naomba unipe KANUNI YOYOTE ILIYOITAKA SIMBA SC KUTOA TAARIFA KAMA INAENDA KUFANYA MAZOEZI, NA UNIPE KANUNI ILIYOTAMKA MUDA RASMI TIMU YA SIMBA SC ILITAKIWA KUJA KUFANYA MAZOEZI.
Ukinipa Kanuni hiyo, ndio itahalalisha kama Simba SC imevunja sheria au la.