Nitawadharau Yanga mkicheza mechi itakayopangiwa tarehe nyingine dhidi ya Simba

Wajazeni ujinga tu itakula kwao, wamechimba shimo wameingia wenyewe, hii kiti ilisukwa kitaalam sana kuwa provoke Simba wasusie ili mpate point za bure sasa ubao umegeuka.
 
Nimekusharau mno if you think what happened last night is ok
 
Yanga hajaweka baunsa yoyote
Yanga hakuwa uwanjani
Uwanjani waliokuwepo wamiliki wa uwanja
Yanga hakuwa na matumizi ya uwanja muda huo
Amphibian katika ubora wako...

Msalimie Muro
 
Match itaandaliwa na team zote zitapewa taarifa, na ukitaka kupinga itabidi upinge kwa kuwasilisha barua juu ya kugomea match husika.

Na hapa ndio mchezo utaanzia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…