Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Maelezo meeeengiiiiiiiii unamalzia MITI tu ,unaleta jangwa.Ndugu zangu Watanzania,
Wakati wowote ule kuanzia Kesho Nitawaleteeni Makala Nzuri sana ,makali ya kuvutia ,makala ya kutoa Elimu ,makala ya kuwafumbueni Macho ,makala ya kuwaondoeni upofu wa akili na macho. juu ya ulaghai wa Wazungu kwa Walibya na Libya katika Mtego uliotegwa na kuwanasa miguu na mikono Walibya.
Nitawaleteeni Makala na andiko hilo lenye kuonyesha Libya ya Ghadafi ilivyo kuwa Nchi yenye Umoja , mshikamano ,amani ,utulivu , maendeleo na kila aina ya Maendeleo Mpaka kufikia Libya ya leo yenye mgawanyiko na kila aina ya shida na matatizo.
Nitawaelezeni hadithi tamu tamu na maneno matamu matamu waliolishwa ,kukaririshwa na kumezeshwa Walibya ili wampindue na kumuondoa madarakani Hayati Muamari Gaddafi Kiongozi aliyekuwa na Ndoto na kiu ya kuiunganisha Afrika na kuifanya kuwa Dola moja lenye Nguvu. Kiongozi aliyekuwa na Ndoto ya kuona Afrika inaondokana na utegemezi kwa wazungu na badala yake Afrika itumie rasilimali ilizonazo kuupiga teke umaskini ,kuondoa njaa na kila aina ya utegemezi kwa wazungu.
Kwa bahati mbaya Ndoto hizo zilizimwa kwa mikono ya Walibya wenyewe kwa kudanganywa na mabeberu ambao siku zote hawajawahi kuwa na maombi mema na Afrika tangu enzi na enzi. Hawa Mabeberu waliotesa na kuuwa Babu zetu siku zote hawapendi na kumpenda kiongozi mwenye msimamo,kujitambua na mwenye kutaka kuona Taifa likijegemea na kuondokana na utegemezi. Ndio maana wakiona kiongozi mwenye Mwenye maono na ndoto kubwa aina ya Rais Samia watampiga kila aina ya mawe ,kutoa matamko yenye uongo , uchochezi na chuki tu kama ilivyo kwetu.
Leo hii Walibya wanatamani hata siku zirejee nyuma ili wamlinde Rais wao Gadaffi kwa wivu mkubwa sana. Lakini kwa bahati mbaya hawana nafasi hiyo. Leo wanakesha wababubujikwa na machozi ya majuto . Kwa kuwa wanashuhudia Taifa lililogawanywa mapande mapande likiwa halina usalama wa kutosha wala utukivu. Leo Libya haina hata kiwanja cha ndege kikubwa kwakuwa vyote wameharibu kwa mikono yao wenyewe kwa mihemko.
Leo wanamkumbuka namna Gaddafi alivyowapa Elimu bure hadi vyuo vikuu ,huduma bora za afya na maono makubwa ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo kama ule wa man made river kwa ajili ya upatikanaji wa maji ya uhakika kwa ajili ya matumizi ya binadamu na kilimo.leo wanapitia mateso ya kila aina huku ardhi yao ikiwa ni makazi na maficho ya vikundi vya Kigaidi.
Naomba usipange kukosa makala hiyo kwa kuwa utakuwa umekosa kitu kikubwa sana katika maisha yako. Utapata somo ambalo Walibya walikosa mtu wa kuwapatia. Lakini wewe utabahatika kulipata.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nani anataka kuisikia?Ndugu zangu Watanzania,

Wananchi wakikosa uhuru hata uwape Kila kitu Bure haisaidiiNdugu zangu Watanzania,

Embu nenda ukawaambie Walibya hizo porojo zako uone kama watakuelewa. Kwa sasa wanamkumbuka Gaddafi na wanatamani kama ingewezekana Mungu amrejeshe tuGadafi huyu ,aliyetesa the minority? Akawaua, akawateka, akawafunga??.
Siku zote Taifa likiwa na Umoja, hamna Adui wa nje wakushinda.
MAREKAN na Ulaya, ni Nchi Rafiki zetu miaka na miaka.
Kwa maana hiyo, kama Kuna namna yakutusaidia Watanzania kuiangisha Genge hili la Watekaji, Tunawakaribisha .
Tanzania tupo huru sana na huwezi kufananisha na Nchi yeyote yule hapa Afrika. Kwani unataka uhuru gani mwingine zaidi ya huu tulionao?Wananchi wakikosa uhuru hata uwape Kila kitu Bure haisaidii
Gadafi alifikiri anaweza kufuga watu kama Ng'ombe wa ndani , awajengee nyumba nzuri na huduma zote alafu awanyime uhuru
Kuna Wafunga wanakula Bure kunywa Bure na wanaishi nyumba za matofali lakini wanatamani kuwa huru hata kama kwao ni nyumba za nyasi
CCM imefanya kazi kubwa sana katika ustawi wa watanzania na Taifa zima kwa ujumla wakeYa Libya yatatusaidia nini, tuletee makala ya majuto ya CCM tuliyonayo kwa kuwaamini kwa miaka zaidi ya 60.
Mbona unaandika kama mjinga vile? Unauliza habari za kura? Watanzania wazalendo waliwahi asubuhi na mapema kwenda kupiga kura wakati wewe upo umelewa na kuamka na mipombe yako kichwani.Peleka upuuzi mbali, hapa ccm wanalazimisha kukaa madarakani kwa shuruti. Mnadgani mtaleta propaganda mfu tupotee. Tunataka muonyeshe ni wapi kura 31m, zilitokea. Kinyume na hapo tutatoa fundisho kwa majizi mengine ya kura ndani ya nchi hii.
Hoja hujibiwa kwa hojaLucas mashanga huna jipya
Ndugu zangu Watanzania,
Wakati wowote ule kuanzia Kesho Nitawaleteeni Makala Nzuri sana ,makali ya kuvutia ,makala ya kutoa Elimu ,makala ya kuwafumbueni Macho ,makala ya kuwaondoeni upofu wa akili na macho. juu ya ulaghai wa Wazungu kwa Walibya na Libya katika Mtego uliotegwa na kuwanasa miguu na mikono Walibya.
Nitawaleteeni Makala na andiko hilo lenye kuonyesha Libya ya Ghadafi ilivyo kuwa Nchi yenye Umoja , mshikamano ,amani ,utulivu , maendeleo na kila aina ya Maendeleo Mpaka kufikia Libya ya leo yenye mgawanyiko na kila aina ya shida na matatizo.
Nitawaelezeni hadithi tamu tamu na maneno matamu matamu waliolishwa ,kukaririshwa na kumezeshwa Walibya ili wampindue na kumuondoa madarakani Hayati Muamari Gaddafi Kiongozi aliyekuwa na Ndoto na kiu ya kuiunganisha Afrika na kuifanya kuwa Dola moja lenye Nguvu. Kiongozi aliyekuwa na Ndoto ya kuona Afrika inaondokana na utegemezi kwa wazungu na badala yake Afrika itumie rasilimali ilizonazo kuupiga teke umaskini ,kuondoa njaa na kila aina ya utegemezi kwa wazungu.
Kwa bahati mbaya Ndoto hizo zilizimwa kwa mikono ya Walibya wenyewe kwa kudanganywa na mabeberu ambao siku zote hawajawahi kuwa na maombi mema na Afrika tangu enzi na enzi. Hawa Mabeberu waliotesa na kuuwa Babu zetu siku zote hawapendi na kumpenda kiongozi mwenye msimamo,kujitambua na mwenye kutaka kuona Taifa likijegemea na kuondokana na utegemezi. Ndio maana wakiona kiongozi mwenye Mwenye maono na ndoto kubwa aina ya Rais Samia watampiga kila aina ya mawe ,kutoa matamko yenye uongo , uchochezi na chuki tu kama ilivyo kwetu.
Leo hii Walibya wanatamani hata siku zirejee nyuma ili wamlinde Rais wao Gadaffi kwa wivu mkubwa sana. Lakini kwa bahati mbaya hawana nafasi hiyo. Leo wanakesha wababubujikwa na machozi ya majuto . Kwa kuwa wanashuhudia Taifa lililogawanywa mapande mapande likiwa halina usalama wa kutosha wala utukivu. Leo Libya haina hata kiwanja cha ndege kikubwa kwakuwa vyote wameharibu kwa mikono yao wenyewe kwa mihemko.
Leo wanamkumbuka namna Gaddafi alivyowapa Elimu bure hadi vyuo vikuu ,huduma bora za afya na maono makubwa ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo kama ule wa man made river kwa ajili ya upatikanaji wa maji ya uhakika kwa ajili ya matumizi ya binadamu na kilimo.leo wanapitia mateso ya kila aina huku ardhi yao ikiwa ni makazi na maficho ya vikundi vya Kigaidi.
Naomba usipange kukosa makala hiyo kwa kuwa utakuwa umekosa kitu kikubwa sana katika maisha yako. Utapata somo ambalo Walibya walikosa mtu wa kuwapatia. Lakini wewe utabahatika kulipata.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Naandika kwa ajili ya wenye akili TimamuNani anataka kuisikia?
Umetumwa na nani?