Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Ali kibao yuko wqpi?Hoja hujibiwa kwa hoja

Nasema hivi we 🌈 peleka use@nge mbali. Mnadhani kuna wajinga wa kulisikiliza hilo jizi la kura na liuaji? Kama mlitegemea mpore uchaguzi na kuja na hizi porojo za kitoto, basi safari hii mmeukalia.Mbona unaandika kama mjinga vile? Unauliza habari za kura? Watanzania wazalendo waliwahi asubuhi na mapema kwenda kupiga kura wakati wewe upo umelewa na kuamka na mipombe yako kichwani.
Wee ni muongo sanaa.Embu nenda ukawaambie Walibya hizo porojo zako uone kama watakuelewa. Kwa sasa wanamkumbuka Gaddafi na wanatamani kama ingewezekana Mungu amrejeshe tu
Nenda kwa Walibya upate kuthibitisha Manento yangu .Wee ni muongo sanaa.
Nawee Luca una akili timamu? 😂😂😂😂Naandika kwa ajili ya wenye akili Timamu
Ndugu zangu Watanzania,
Wakati wowote ule kuanzia Kesho Nitawaleteeni Makala Nzuri sana ,makali ya kuvutia ,makala ya kutoa Elimu ,makala ya kuwafumbueni Macho ,makala ya kuwaondoeni upofu wa akili na macho. juu ya ulaghai wa Wazungu kwa Walibya na Libya katika Mtego uliotegwa na kuwanasa miguu na mikono Walibya.
Nitawaleteeni Makala na andiko hilo lenye kuonyesha Libya ya Ghadafi ilivyo kuwa Nchi yenye Umoja , mshikamano ,amani ,utulivu , maendeleo na kila aina ya Maendeleo Mpaka kufikia Libya ya leo yenye mgawanyiko na kila aina ya shida na matatizo.
Nitawaelezeni hadithi tamu tamu na maneno matamu matamu waliolishwa ,kukaririshwa na kumezeshwa Walibya ili wampindue na kumuondoa madarakani Hayati Muamari Gaddafi. Kiongozi aliyekuwa na Ndoto na kiu ya kuiunganisha Afrika na kuifanya kuwa Dola moja lenye Nguvu. Kiongozi aliyekuwa na Ndoto ya kuona Afrika inaondokana na utegemezi kwa wazungu na badala yake Afrika itumie rasilimali ilizonazo kuupiga teke umaskini ,kuondoa njaa na kila aina ya utegemezi kwa wazungu.
Kwa bahati mbaya Ndoto hizo zilizimwa kwa mikono ya Walibya wenyewe kwa kudanganywa na mabeberu ambao siku zote hawajawahi kuwa na maombi mema na Afrika tangu enzi na enzi. Hawa Mabeberu waliotesa na kuuwa Babu zetu siku zote hawapendi na kumpenda kiongozi mwenye msimamo,kujitambua na mwenye kutaka kuona Taifa likijitegemea na kuondokana na utegemezi. Ndio maana wakiona kiongozi Mwenye maono na ndoto kubwa aina ya Rais Samia watampiga kila aina ya mawe ,kutoa matamko yenye uongo , uchochezi na chuki tu kama ilivyo kwetu.
Leo hii Walibya wanatamani hata siku zirudi nyuma ili wamlinde Rais wao Gadaffi kwa wivu mkubwa sana. Lakini kwa bahati mbaya hawana nafasi hiyo. Leo wanakesha wanabubujikwa na machozi ya majuto . Kwa kuwa wanashuhudia Taifa lililogawanyika mapande mapande likiwa halina usalama wa kutosha wala utulivu. Leo Libya haina hata kiwanja cha ndege kikubwa kwa kuwa vyote wameharibu kwa mikono yao wenyewe kwa mihemko.
Leo wanamkumbuka namna Gaddafi alivyowapa Elimu bure hadi vyuo vikuu ,huduma bora za afya na maono makubwa ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo kama ule wa man made river kwa ajili ya upatikanaji wa maji ya uhakika kwa ajili ya matumizi ya binadamu na kilimo .leo wanapitia mateso ya kila aina huku ardhi yao ikiwa ni makazi na maficho ya vikundi vya Kigaidi.
Naomba usipange kukosa makala hiyo kwa kuwa utakuwa umekosa kitu kikubwa sana katika maisha yako. Utapata somo ambalo Walibya walikosa mtu wa kuwapatia. Lakini wewe utabahatika kulipata.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huna akili kabisa wewe na ndio sababu unashindwa kujenga hoja na kuishia kutukana matusi tu kama kichaa au mwendawazimuNasema hivi we 🌈 peleka use@nge mbali. Mnadhani kuna wajinga wa kulisikiliza hilo jizi la kura na liuaji? Kama mlitegemea mpore uchaguzi na kuja na hizi porojo za kitoto, basi safari hii mmeukalia.
Wanasoma wanaojitambuaYaan mada zako kusoma ni kazi
Wanakutambua wakina nani ofisi ya mikocheni ya abdul na upumbavu wako.we nakutumia salamu za habil utajulikana ulipo keshoWanasoma wanaojitambua
Mpumbavu mmoja weweNdugu zangu Watanzania,
Wakati wowote ule kuanzia Kesho Nitawaleteeni Makala Nzuri sana ,makali ya kuvutia ,makala ya kutoa Elimu ,makala ya kuwafumbueni Macho ,makala ya kuwaondoeni upofu wa akili na macho. juu ya ulaghai wa Wazungu kwa Walibya na Libya katika Mtego uliotegwa na kuwanasa miguu na mikono Walibya.
Nitawaleteeni Makala na andiko hilo lenye kuonyesha Libya ya Ghadafi ilivyo kuwa Nchi yenye Umoja , mshikamano ,amani ,utulivu , maendeleo na kila aina ya Maendeleo Mpaka kufikia Libya ya leo yenye mgawanyiko na kila aina ya shida na matatizo.
Nitawaelezeni hadithi tamu tamu na maneno matamu matamu waliolishwa ,kukaririshwa na kumezeshwa Walibya ili wampindue na kumuondoa madarakani Hayati Muamari Gaddafi. Kiongozi aliyekuwa na Ndoto na kiu ya kuiunganisha Afrika na kuifanya kuwa Dola moja lenye Nguvu. Kiongozi aliyekuwa na Ndoto ya kuona Afrika inaondokana na utegemezi kwa wazungu na badala yake Afrika itumie rasilimali ilizonazo kuupiga teke umaskini ,kuondoa njaa na kila aina ya utegemezi kwa wazungu.
Kwa bahati mbaya Ndoto hizo zilizimwa kwa mikono ya Walibya wenyewe kwa kudanganywa na mabeberu ambao siku zote hawajawahi kuwa na maombi mema na Afrika tangu enzi na enzi. Hawa Mabeberu waliotesa na kuuwa Babu zetu siku zote hawapendi na kumpenda kiongozi mwenye msimamo,kujitambua na mwenye kutaka kuona Taifa likijitegemea na kuondokana na utegemezi. Ndio maana wakiona kiongozi Mwenye maono na ndoto kubwa aina ya Rais Samia watampiga kila aina ya mawe ,kutoa matamko yenye uongo , uchochezi na chuki tu kama ilivyo kwetu.
Leo hii Walibya wanatamani hata siku zirudi nyuma ili wamlinde Rais wao Gadaffi kwa wivu mkubwa sana. Lakini kwa bahati mbaya hawana nafasi hiyo. Leo wanakesha wanabubujikwa na machozi ya majuto . Kwa kuwa wanashuhudia Taifa lililogawanyika mapande mapande likiwa halina usalama wa kutosha wala utulivu. Leo Libya haina hata kiwanja cha ndege kikubwa kwa kuwa vyote wameharibu kwa mikono yao wenyewe kwa mihemko.
Leo wanamkumbuka namna Gaddafi alivyowapa Elimu bure hadi vyuo vikuu ,huduma bora za afya na maono makubwa ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo kama ule wa man made river kwa ajili ya upatikanaji wa maji ya uhakika kwa ajili ya matumizi ya binadamu na kilimo .leo wanapitia mateso ya kila aina huku ardhi yao ikiwa ni makazi na maficho ya vikundi vya Kigaidi.
Naomba usipange kukosa makala hiyo kwa kuwa utakuwa umekosa kitu kikubwa sana katika maisha yako. Utapata somo ambalo Walibya walikosa mtu wa kuwapatia. Lakini wewe utabahatika kulipata.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nasema hivi we 🌈, uko nje ya muda. Kipindi cha kulisha watu propaganda outdated kimepita, sasa hivi mnadeal na kizazi tofauti. Mlitegemea uoga wa wananchi kufanya mtakacho, kwa sasa ujasiri upo wa kutosha. Hakuna wajinga mtawatawala kwa shuruti tena.Huna akili kabisa wewe na ndio sababu unashindwa kujenga hoja na kuishia kutukana matusi tu kama kichaa au mwendawazimu
Nimekusamehe bure kabisa maana hujui ulitendaloMpumbavu mmoja wewe
MuongoooNenda kwa Walibya upate kuthibitisha Manento yangu .
Wewe mwenyewe Ulishawahi kwenda kuthibitisha kwa waLibya wenyewe hicho usemacho?Nenda kwa Walibya upate kuthibitisha Manento yangu .
Ndugu zangu Watanzania,
Wakati wowote ule kuanzia Kesho Nitawaleteeni Makala Nzuri sana ,makali ya kuvutia ,makala ya kutoa Elimu ,makala ya kuwafumbueni Macho ,makala ya kuwaondoeni upofu wa akili na macho. juu ya ulaghai wa Wazungu kwa Walibya na Libya katika Mtego uliotegwa na kuwanasa miguu na mikono Walibya.
Nitawaleteeni Makala na andiko hilo lenye kuonyesha Libya ya Ghadafi ilivyo kuwa Nchi yenye Umoja , mshikamano ,amani ,utulivu , maendeleo na kila aina ya Maendeleo Mpaka kufikia Libya ya leo yenye mgawanyiko na kila aina ya shida na matatizo.
Nitawaelezeni hadithi tamu tamu na maneno matamu matamu waliolishwa ,kukaririshwa na kumezeshwa Walibya ili wampindue na kumuondoa madarakani Hayati Muamari Gaddafi. Kiongozi aliyekuwa na Ndoto na kiu ya kuiunganisha Afrika na kuifanya kuwa Dola moja lenye Nguvu. Kiongozi aliyekuwa na Ndoto ya kuona Afrika inaondokana na utegemezi kwa wazungu na badala yake Afrika itumie rasilimali ilizonazo kuupiga teke umaskini ,kuondoa njaa na kila aina ya utegemezi kwa wazungu.
Kwa bahati mbaya Ndoto hizo zilizimwa kwa mikono ya Walibya wenyewe kwa kudanganywa na mabeberu ambao siku zote hawajawahi kuwa na maombi mema na Afrika tangu enzi na enzi. Hawa Mabeberu waliotesa na kuuwa Babu zetu siku zote hawapendi na kumpenda kiongozi mwenye msimamo,kujitambua na mwenye kutaka kuona Taifa likijitegemea na kuondokana na utegemezi. Ndio maana wakiona kiongozi Mwenye maono na ndoto kubwa aina ya Rais Samia watampiga kila aina ya mawe ,kutoa matamko yenye uongo , uchochezi na chuki tu kama ilivyo kwetu.
Leo hii Walibya wanatamani hata siku zirudi nyuma ili wamlinde Rais wao Gadaffi kwa wivu mkubwa sana. Lakini kwa bahati mbaya hawana nafasi hiyo. Leo wanakesha wanabubujikwa na machozi ya majuto . Kwa kuwa wanashuhudia Taifa lililogawanyika mapande mapande likiwa halina usalama wa kutosha wala utulivu. Leo Libya haina hata kiwanja cha ndege kikubwa kwa kuwa vyote wameharibu kwa mikono yao wenyewe kwa mihemko.
Leo wanamkumbuka namna Gaddafi alivyowapa Elimu bure hadi vyuo vikuu ,huduma bora za afya na maono makubwa ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo kama ule wa man made river kwa ajili ya upatikanaji wa maji ya uhakika kwa ajili ya matumizi ya binadamu na kilimo .leo wanapitia mateso ya kila aina huku ardhi yao ikiwa ni makazi na maficho ya vikundi vya Kigaidi.
Naomba usipange kukosa makala hiyo kwa kuwa utakuwa umekosa kitu kikubwa sana katika maisha yako. Utapata somo ambalo Walibya walikosa mtu wa kuwapatia. Lakini wewe utabahatika kulipata.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hivi wewe kilaza unafikiri humu watu wote ni wajinga kama wewe ? Hizo propaganda mfu washirikishe mbumbumbu wenzako huko CCM .Ndugu zangu Watanzania,