Nitawaleteeni makala nzuri kuhusu ulaghai wa wazungu kwa walibya na majuto waliyonayo hii leo ili msije kunasa kwenye mtego uliowanasa Walibya

Kitima kamaliza kabisa, history itamkumbuka huyu Samia mshenzi kama nduli tuu, uzuri wakatoliki wame document kila kitu kilichotokea kwenye hospital zao na ushahidi wa hali ya juu, lazima atapandishwa kizimbani hata miaka 20 ikipita
Huyo hajitambui
 
Binadamu huwa anatabia ya kuchoka kitu na akichoka haitaji kulazimishwa, unaweza kuwa na gari linakusafirisha vizuri katika safari zako na umekaa nalo miaka mingi na halina kasoro yeyote ila kuna wakati utahitaji kupaki na kununua toleo lipya huku ukiwa bado unalipenda na kuliheshimu gari lako la zamani.

Kilochotokea Libya sidhani kama wakulaumiwa sana ni
wazungu nahisi utawala wa Gadafi ulishindwa kusoma alama za nyakati na generation aliyokuwa nayo, laiti angelitambua akamuachia madaraka hata kijana wake mapema nadhani ingekuwa ngumu raia kuungana na wazungu.
Nenda kasikilize Majuto ya Walibya kwa sasa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Wakati wowote ule kuanzia Kesho Nitawaleteeni Makala Nzuri sana ,makali ya kuvutia ,makala ya kutoa Elimu ,makala ya kuwafumbueni Macho ,makala ya kuwaondoeni upofu wa akili na macho. juu ya ulaghai wa Wazungu kwa Walibya na Libya katika Mtego uliotegwa na kuwanasa miguu na mikono Walibya.

Nitawaleteeni Makala na andiko hilo lenye kuonyesha Libya ya Ghadafi ilivyo kuwa Nchi yenye Umoja , mshikamano ,amani ,utulivu , maendeleo na kila aina ya Maendeleo Mpaka kufikia Libya ya leo yenye mgawanyiko na kila aina ya shida na matatizo.

Nitawaelezeni hadithi tamu tamu na maneno matamu matamu waliolishwa ,kukaririshwa na kumezeshwa Walibya ili wampindue na kumuondoa madarakani Hayati Muamari Gaddafi. Kiongozi aliyekuwa na Ndoto na kiu ya kuiunganisha Afrika na kuifanya kuwa Dola moja lenye Nguvu. Kiongozi aliyekuwa na Ndoto ya kuona Afrika inaondokana na utegemezi kwa wazungu na badala yake Afrika itumie rasilimali ilizonazo kuupiga teke umaskini ,kuondoa njaa na kila aina ya utegemezi kwa wazungu.

Kwa bahati mbaya Ndoto hizo zilizimwa kwa mikono ya Walibya wenyewe kwa kudanganywa na mabeberu ambao siku zote hawajawahi kuwa na maombi mema na Afrika tangu enzi na enzi. Hawa Mabeberu waliotesa na kuuwa Babu zetu siku zote hawapendi na kumpenda kiongozi mwenye msimamo,kujitambua na mwenye kutaka kuona Taifa likijitegemea na kuondokana na utegemezi. Ndio maana wakiona kiongozi Mwenye maono na ndoto kubwa aina ya Rais Samia watampiga kila aina ya mawe ,kutoa matamko yenye uongo , uchochezi na chuki tu kama ilivyo kwetu.

Leo hii Walibya wanatamani hata siku zirudi nyuma ili wamlinde Rais wao Gadaffi kwa wivu mkubwa sana. Lakini kwa bahati mbaya hawana nafasi hiyo. Leo wanakesha wanabubujikwa na machozi ya majuto . Kwa kuwa wanashuhudia Taifa lililogawanyika mapande mapande likiwa halina usalama wa kutosha wala utulivu. Leo Libya haina hata kiwanja cha ndege kikubwa kwa kuwa vyote wameharibu kwa mikono yao wenyewe kwa mihemko.

Leo wanamkumbuka namna Gaddafi alivyowapa Elimu bure hadi vyuo vikuu ,huduma bora za afya na maono makubwa ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo kama ule wa man made river kwa ajili ya upatikanaji wa maji ya uhakika kwa ajili ya matumizi ya binadamu na kilimo .leo wanapitia mateso ya kila aina huku ardhi yao ikiwa ni makazi na maficho ya vikundi vya Kigaidi.

Naomba usipange kukosa makala hiyo kwa kuwa utakuwa umekosa kitu kikubwa sana katika maisha yako. Utapata somo ambalo Walibya walikosa mtu wa kuwapatia. Lakini wewe utabahatika kulipata.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Usisahau pia kuleta makala nzuri inayoonesha wazungu wakiishurutisha CCM na serekali,kuteka na kuua raia, kubambikia raia kesi, kuiba chaguzi,.............wewe ni kichomi unafurahia mwenzio anapouliwa????
 
Wewe ndiye janga usiyejitambua

Huna hata akili za kujiuliza kwa nini Rais aliyepata 98.9% aliapishwa katika Kambi ya Jeshi? Huna hata akili za kujiuliza kwa nini Rais ana madaraka kama "mungu" Tanzania na analazamishwa kuimbiwa mapambio? Huoni wewe ni janga kamili!
 
Nenda kasikilize Majuto ya Walibya kwa sasa
Kweli nyani haoni ****** wake! Kwa nini Libya.....Huoni yaliyotokea Tanzania? Ni nini huwa mnalishwa Lumumba? Huwa mnapuliziwa dawa! Ukiwa Mwanachama wa CCM, kitu cha kwanza kabisa unakuwa hanithi wa ubongo! Unashindwa kuona utekaji unaotokea Tanzania! Unashindwa kuona umuhimu wa kuwepo tume huru ya kusimamia uchaguzi! Unashindwa kuona ni muhimu kama hujaridhishwa na matokea ya uchaguzi kwenda mahakamani! Unashindwa kuona Muungano inabidi uangaliwe upya, haukidhi matakwa ya jamii leo hii!

Si haja ya kwenda Libya! Ila wewe na Chama chako chukueni tahadhari, yaliyotokea Libya msipojirekebisha yanakuja! Nilidhani mtajifunza kwa Libya, lakini uhanithi wa ubongo unaangalia kinyume nyume!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Wakati wowote ule kuanzia Kesho Nitawaleteeni Makala Nzuri sana ,makali ya kuvutia ,makala ya kutoa Elimu ,makala ya kuwafumbueni Macho ,makala ya kuwaondoeni upofu wa akili na macho. juu ya ulaghai wa Wazungu kwa Walibya na Libya katika Mtego uliotegwa na kuwanasa miguu na mikono Walibya.

Nitawaleteeni Makala na andiko hilo lenye kuonyesha Libya ya Ghadafi ilivyo kuwa Nchi yenye Umoja , mshikamano ,amani ,utulivu , maendeleo na kila aina ya Maendeleo Mpaka kufikia Libya ya leo yenye mgawanyiko na kila aina ya shida na matatizo.

Nitawaelezeni hadithi tamu tamu na maneno matamu matamu waliolishwa ,kukaririshwa na kumezeshwa Walibya ili wampindue na kumuondoa madarakani Hayati Muamari Gaddafi. Kiongozi aliyekuwa na Ndoto na kiu ya kuiunganisha Afrika na kuifanya kuwa Dola moja lenye Nguvu. Kiongozi aliyekuwa na Ndoto ya kuona Afrika inaondokana na utegemezi kwa wazungu na badala yake Afrika itumie rasilimali ilizonazo kuupiga teke umaskini ,kuondoa njaa na kila aina ya utegemezi kwa wazungu.

Kwa bahati mbaya Ndoto hizo zilizimwa kwa mikono ya Walibya wenyewe kwa kudanganywa na mabeberu ambao siku zote hawajawahi kuwa na maombi mema na Afrika tangu enzi na enzi. Hawa Mabeberu waliotesa na kuuwa Babu zetu siku zote hawapendi na kumpenda kiongozi mwenye msimamo,kujitambua na mwenye kutaka kuona Taifa likijitegemea na kuondokana na utegemezi. Ndio maana wakiona kiongozi Mwenye maono na ndoto kubwa aina ya Rais Samia watampiga kila aina ya mawe ,kutoa matamko yenye uongo , uchochezi na chuki tu kama ilivyo kwetu.

Leo hii Walibya wanatamani hata siku zirudi nyuma ili wamlinde Rais wao Gadaffi kwa wivu mkubwa sana. Lakini kwa bahati mbaya hawana nafasi hiyo. Leo wanakesha wanabubujikwa na machozi ya majuto . Kwa kuwa wanashuhudia Taifa lililogawanyika mapande mapande likiwa halina usalama wa kutosha wala utulivu. Leo Libya haina hata kiwanja cha ndege kikubwa kwa kuwa vyote wameharibu kwa mikono yao wenyewe kwa mihemko.

Leo wanamkumbuka namna Gaddafi alivyowapa Elimu bure hadi vyuo vikuu ,huduma bora za afya na maono makubwa ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo kama ule wa man made river kwa ajili ya upatikanaji wa maji ya uhakika kwa ajili ya matumizi ya binadamu na kilimo .leo wanapitia mateso ya kila aina huku ardhi yao ikiwa ni makazi na maficho ya vikundi vya Kigaidi.

Naomba usipange kukosa makala hiyo kwa kuwa utakuwa umekosa kitu kikubwa sana katika maisha yako. Utapata somo ambalo Walibya walikosa mtu wa kuwapatia. Lakini wewe utabahatika kulipata.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Anza na makala ya jinsi Samia anavyoteka Watanganyika na kuwaua na anavyotuma genge lake kulawiti watoto then utuandikie makala ya kutueleza ilipo miili ya vijana waliouawa 29th-Oct-2025 mpaka 30th-Oct-2025. Hayo ndiyo yanayotugusa moja kwa moja achana na mambo ya mbali yasiyotuhusu, ni sawa na wapumbavu wanaolalamikia kuuawa kwa Wapalestina huku wakitetea kuuawa kwa Watanganyika.
 
Maajabu ya Dunia!!

Yaani punguani mnafiki Mwashambwa eti atatoa elimu kuwafundisha wenye akili timamu. Ni elimu gani huwa inatolewa na mtu pumguani wa akili aliye mnafiki kwa wenye akili timamu? Hiyo elimu ya upunguani na unafiki, wapelekee mashekhe ubwabwa wa BAKWATA, hapa hakuna mwenye muda wa kupoteza.
 
Kazi kubwa mojawapo ambayo CCM imefanikiwa sana ni kuwageuza waliokuwa na akili ndogo ya kiwango cha kwako na kuwafanya wendawazimu, sawa na ulipofikia.
 
Unayajua majuto ya Watanzania! Kuna Katiba mbovu kandamizi! Rais ni kama "mungu" Kuna damu zilizomwagika kulinda Dola ya unyama, Kwa nini niende Libya? Unajua Watanzania ambao hawajapata ndugu zao? Kwa nini niende Libya! Kama huna la kusema Kaa kimya!
Huna ulijualo zaidi ya kuropoka ropoka tu kama mlevi wa gongo
 
Maajabu ya Dunia!!

Yaani punguani mnafiki Mwashambwa eti atatoa elimu kuwafundisha wenye akili timamu. Ni elimu gani huwa inatolewa na mtu pumguani wa akili aliye mnafiki kwa wenye akili timamu? Hiyo elimu ya upunguani na unafiki, wapelekee mashekhe ubwabwa wa BAKWATA, hapa hakuna mwenye muda wa kupoteza.
Kaa kwa kutulia uje kupata chakula cha ubongo.
 
Nenda kasikilize Majuto ya Walibya kwa sasa

barabaric waarabu wenzake walimbaka kwanza piga sana halafu ndio wakamshoot, kwa nini hawakumshoot tu mara moja tu basi na kwenda kumzika, hiyo tofauti kati ya muslims na Christians.

unyama wa warabu, barbaric people ….
 
Nyoe ndiyo mmemwaribia huyu mama kwa uchwa wenu tuliwaambia mkakaza mafuvu
 
TUtanasa wote pamoja na nyinyi machawa maana mngesikiliza tangu mwanzo tusinhefika uku.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Wakati wowote ule kuanzia Kesho Nitawaleteeni Makala Nzuri sana ,makali ya kuvutia ,makala ya kutoa Elimu ,makala ya kuwafumbueni Macho ,makala ya kuwaondoeni upofu wa akili na macho. juu ya ulaghai wa Wazungu kwa Walibya na Libya katika Mtego uliotegwa na kuwanasa miguu na mikono Walibya.

Nitawaleteeni Makala na andiko hilo lenye kuonyesha Libya ya Ghadafi ilivyo kuwa Nchi yenye Umoja , mshikamano ,amani ,utulivu , maendeleo na kila aina ya Maendeleo Mpaka kufikia Libya ya leo yenye mgawanyiko na kila aina ya shida na matatizo.

Nitawaelezeni hadithi tamu tamu na maneno matamu matamu waliolishwa ,kukaririshwa na kumezeshwa Walibya ili wampindue na kumuondoa madarakani Hayati Muamari Gaddafi. Kiongozi aliyekuwa na Ndoto na kiu ya kuiunganisha Afrika na kuifanya kuwa Dola moja lenye Nguvu. Kiongozi aliyekuwa na Ndoto ya kuona Afrika inaondokana na utegemezi kwa wazungu na badala yake Afrika itumie rasilimali ilizonazo kuupiga teke umaskini ,kuondoa njaa na kila aina ya utegemezi kwa wazungu.

Kwa bahati mbaya Ndoto hizo zilizimwa kwa mikono ya Walibya wenyewe kwa kudanganywa na mabeberu ambao siku zote hawajawahi kuwa na maombi mema na Afrika tangu enzi na enzi. Hawa Mabeberu waliotesa na kuuwa Babu zetu siku zote hawapendi na kumpenda kiongozi mwenye msimamo,kujitambua na mwenye kutaka kuona Taifa likijitegemea na kuondokana na utegemezi. Ndio maana wakiona kiongozi Mwenye maono na ndoto kubwa aina ya Rais Samia watampiga kila aina ya mawe ,kutoa matamko yenye uongo , uchochezi na chuki tu kama ilivyo kwetu.

Leo hii Walibya wanatamani hata siku zirudi nyuma ili wamlinde Rais wao Gadaffi kwa wivu mkubwa sana. Lakini kwa bahati mbaya hawana nafasi hiyo. Leo wanakesha wanabubujikwa na machozi ya majuto . Kwa kuwa wanashuhudia Taifa lililogawanyika mapande mapande likiwa halina usalama wa kutosha wala utulivu. Leo Libya haina hata kiwanja cha ndege kikubwa kwa kuwa vyote wameharibu kwa mikono yao wenyewe kwa mihemko.

Leo wanamkumbuka namna Gaddafi alivyowapa Elimu bure hadi vyuo vikuu ,huduma bora za afya na maono makubwa ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo kama ule wa man made river kwa ajili ya upatikanaji wa maji ya uhakika kwa ajili ya matumizi ya binadamu na kilimo .leo wanapitia mateso ya kila aina huku ardhi yao ikiwa ni makazi na maficho ya vikundi vya Kigaidi.

Naomba usipange kukosa makala hiyo kwa kuwa utakuwa umekosa kitu kikubwa sana katika maisha yako. Utapata somo ambalo Walibya walikosa mtu wa kuwapatia. Lakini wewe utabahatika kulipata.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mpaka sasa ,umetembea nchi ngapi Duniani ? Tuanzie apa kwanza ,kabla ya upumbavu wako
 
Yasikie TU mkuu bado huja pitia maumivu wa ndugu yako kutekwa alafu apatikane Hana macho na katobolewa mwili mzima, unajisemesha TU uchawa
 
Back
Top Bottom