Saiv niko home napata mawaiza flan hivi kutoka kwa wakulu kesho safar itaanza saa moja jion pale mwanza air port
Nasepa saa moja sister
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Tangu liniDgo mjinga sana hahahah[emoji41] [emoji41] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mdogo wa joseverest huyu
Au umepotea njia mama maana pm yangu Ipo uswazi bibie.Nakujaaa
Nakuona mkuu unamendea kama kawaida yako.Au umepotea njia mama maana pm yangu Ipo uswazi bibie.
Anamendea utamuuuNakuona mkuu unamendea kama kawaida yako.
Afu nione unachangia mada humu kabla ya likizo mwezi wa tatu.....unakula bakora tuu
Ndo naenda kidato cha nne mkuu
Kitabu ni kigumu sana asikwambie mtu
Muda bado unamruhusu hadi j3 ijayo, siku ya j4 ndo anaenda shule. Nadhani atakuwa anaperuuuzz jeiefu kwa mara ya mwisho mkuu.Eeeeh huyo kijana anajijua yeye..
Yupo kama kawa.. last seen leo mida ya saa tatu asubuhi. Ila hajaandika lolote tangu Monday.
Duh umejitahidi. Form four unaijua Jf?? Utakuwa wakishua wwNdo naenda kidato cha nne mkuu
Kitabu ni kigumu sana asikwambie mtu