Nitawamis sana kwaherini JF, shule zimefunguliwa naenda shule tutaonana mwezi wa tatu wakuu

Huyu dogo hawezi ondoka humu jf aiseeeee......
Hapa najua ndani ya wiki hii atakuja na issue nyingine kama sio kufukuzwa shule na blablaa nyingiiiii
Mie kuna baadhi ya watu kama watatu hivi nikifungua uzi nikakuta ni yeye huwa sisomi wala comment. Huyu mmoja wao,na kuna yule deo mwingine anaandika ujinga wa mapenzi na kutiana tu kila siku yeye tu mpaka nimemchoka,Anajitia starring kama wa picha za kihindi,.
 
Huyu mwongo atakuwa ni wa Lumumba likizo yake imeisha alafu anarudi na ID mpya
 
Mie kuna baadhi ya watu kama watatu hivi nikifungua uzi nikakuta ni yeye huwa sisomi wala comment. Huyu mmoja wao,na kuna yule deo mwingine anaandika ujinga wa mapenzi na kutiana tu kila siku yeye tu mpaka nimemchoka,Anajitia starring kama wa picha za kihindi,.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nenda tuu shemeji, tutamiss upuuzi wako sana [emoji26][emoji26][emoji26].

Itabidi huo mwezi wa tatu ukirudi MBITIYAZA akukazanie tuition maana form four nayo sio nzuri usije ukapita round about.
Kila la kheri beira.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
My mbavu's
 
Mambo ya shemeji yangu hayo anaenda kumalizia form four haki nitammiss maana ana upuuzi sio wa nchi hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa utapata wapi upuuzi tena!!?[emoji14] [emoji14]
 
Back
Top Bottom