Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,209
Kila la kheri mkuu [emoji1] [emoji12] [emoji13]Ndo nipo njiani nimelala lodge kesho asubuhi naamka niende shule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la kheri mkuu [emoji1] [emoji12] [emoji13]Ndo nipo njiani nimelala lodge kesho asubuhi naamka niende shule
We jamaa sema poa tuUtakuwa umenifanisha mkuu
Mie kuna baadhi ya watu kama watatu hivi nikifungua uzi nikakuta ni yeye huwa sisomi wala comment. Huyu mmoja wao,na kuna yule deo mwingine anaandika ujinga wa mapenzi na kutiana tu kila siku yeye tu mpaka nimemchoka,Anajitia starring kama wa picha za kihindi,.Huyu dogo hawezi ondoka humu jf aiseeeee......
Hapa najua ndani ya wiki hii atakuja na issue nyingine kama sio kufukuzwa shule na blablaa nyingiiiii
NaaammUnaukumbuka ule Uzi wake kuhusu dogo!
Haujakosea mkuuHamtaamini sa ivi anashusha uzi kaenda kupiga game ya mwisho kwa mke wa jirani. Then anakuja na thread nyingine jinsi alivyo mgegeda muhudumu wa ndege chooni.
Huyu kajanja hafai
Well saidYap ndo hivyo mkuu kwa sasa naenda kukomaa na kitabu ile mbaya si unajua kitaa hakisomek kabisa
Nenda tuu shemeji, tutamiss upuuzi wako sana [emoji26][emoji26][emoji26].Mambo shemu wangu mimi ndo nasepa hivyo
Tutaonana mwez wa tatu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie kuna baadhi ya watu kama watatu hivi nikifungua uzi nikakuta ni yeye huwa sisomi wala comment. Huyu mmoja wao,na kuna yule deo mwingine anaandika ujinga wa mapenzi na kutiana tu kila siku yeye tu mpaka nimemchoka,Anajitia starring kama wa picha za kihindi,.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nenda tuu shemeji, tutamiss upuuzi wako sana [emoji26][emoji26][emoji26].
Itabidi huo mwezi wa tatu ukirudi MBITIYAZA akukazanie tuition maana form four nayo sio nzuri usije ukapita round about.
Kila la kheri beira.
Mambo ya shemeji yangu hayo anaenda kumalizia form four haki nitammiss maana ana upuuzi sio wa nchi hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
My mbavu's
Sasa utapata wapi upuuzi tena!!?[emoji14] [emoji14]Mambo ya shemeji yangu hayo anaenda kumalizia form four haki nitammiss maana ana upuuzi sio wa nchi hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwenda atakuwa kamrithisha mpenzi wake mbiti, ngoja tutaangalia mwenendo wa MBITIYAZA maana mapenzi banah lazma mfanane kama sio akili basi tabia.Sasa utapata wapi upuuzi tena!!?[emoji14] [emoji14]
hahahahhaaaaaaHuwenda atakuwa kamrithisha mpenzi wake mbiti, ngoja tutaangalia mwenendo wa MBITIYAZA maana mapenzi banah lazma mfanane kama sio akili basi tabia.