Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I love you
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habbar kinavyosomeka hapo juu
Dah inauma sana lakin ndo hivo kwaherin ndugu zangu, week ijayo yaan jumanne inatakiwa niwe nishafika shule maana shule tumefungua
Na shule ninakosoma ni bording hivyo huwa haturusiwi kuwa na simu pia hata home huwa hawaniruhusu kwenda na cm shule hivyo huwa naiacha home
Nitawakumbuka sana ndugu zangu masela zangu, bro zangu na sister zangu
Tutaonana tena mwez wa tatu maana huwa likizo fupi
Tuliogombana naomba mnisamehe sana nami nishawasamehe
Baba wa mbingun awabaliki sana panapomaajaliwa mwez wa tatu tutakuwa wote
Naomba mniombee sana nipige kitabu wakuu
Nitawakumbuka sana
View attachment 670369
By by
LONDON BOY
Kwa hyo ulkua unakula MTU size ya Dada ako!??Hapana mimi nasoma mbitiyaza ana kaz yake
Na hata siamini. Kesho nadondosha bonge la partyDah had umeshukuru kwa mungu kabisa
Yani we kajanja huishi vituko aseeh.. [emoji1] [emoji1]Hahaaa et jinsi nilivyowagegeda huwa nina dem mwalimu anadai kanimis ile mbaya
Huyu dogo hawezi ondoka humu jf aiseeeee......Na hata siamini. Kesho nadondosha bonge la party
Ndo nipo njiani nimelala lodge kesho asubuhi naamka niende shuleMarhaba kama ni hivyo mfuate mwenzio shule
Atakuja na silediii kafumaniwa na katoto ka form one kapigwa suspension ya miezi 3Huyu dogo hawezi ondoka humu jf aiseeeee......
Hapa najua ndani ya wiki hii atakuja na issue nyingine kama sio kufukuzwa shule na blablaa nyingiiiii