Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
- #681
Hahahaha,[emoji23][emoji23]id yako inafanya mambo,Yaani hadi raha...
Sikujua kama ukileft comments zaja best...
Hivi Umeanza kutumia id yangu sio
Left
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha,[emoji23][emoji23]id yako inafanya mambo,Yaani hadi raha...
Sikujua kama ukileft comments zaja best...
Hivi Umeanza kutumia id yangu sio
Zote mbili[emoji85]Nakuonaa nakuonaaa
Unatumia id yangu na yako
Si kwa kias hiki,it's touchable,sjawah kuonana na koment yko,Ila leo nmeamini,ntafanyaj unafikir,inanibidi tuUtani dropia username.[emoji17] [emoji17]
Farewell!
Ndio ujue jf tunapendana na hatutaki uondoke [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kweli yaan[emoji15]leo ndio napata mapenzi yote haya[emoji17]
Natamani kuondoka kwenye uzi, naaga lakini siondoki. Nikiona notification tu, narudi.Hahaha
Weweee... Umeonaee, hayo mahaba sii ya nchi hii...
Sakayo added you
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Weweee... Umeonaee, hayo mahaba sii ya nchi hii...
Sakayo added you
Amin yarabb kwa soteKila la kheri Mkuu, Mungu akuwezeshe uweze kutimiza majukumu yako yote. Ni huzuni sana mtu kuondoka, lakini mara nyingine inalibidi tu iwe hivyo, hakuna namna...
Mungu akusaidie.
Ile ambayo Emmyta amekataaNamba[emoji3]Kwan ulifikiria nini
Pacha nakusalimia.Hii ni ishara wachumba JF wanaolewa na sharti la nyumba mpya ni kutokuwa katika social networks. Hii imekaa vizuri, wataingia form six levers kuchukua nafasi yako.
Kila la kheri nje ya JF
Thank uHii ni ishara wachumba JF wanaolewa na sharti la nyumba mpya ni kutokuwa katika social networks. Hii imekaa vizuri, wataingia form six levers kuchukua nafasi yako.
Kila la kheri nje ya JF
C anansindkza tu kuja kuchukua namba[emoji23][emoji23]staki povu.muacheni hukohuko,,au mmesahau kama kesho naondoka
Amin yarabb[emoji120]Kila la kheri ....Mfungo mwema Alllah akupokelee swaumu yako.
Mtanipa woteHahahaha[emoji23]sjui atapewa na nani
[emoji23]nkibaki nikubali kuchangia[emoji13][emoji13]Ndio ujue jf tunapendana na hatutaki uondoke [emoji125] [emoji125] [emoji125]
C utulieKama ni kwa ubabe hivyo Arabian queen wa usimpe.[emoji2] [emoji2]
Ha ha ha c wajua vya mwisho mwisho vitamuWacha ale tu sina hofu naye kwa kuwa najua kesho jioni anasepa. [emoji2] [emoji2]
Baadae ntakuja pm nkufariji kidg kabla sjaondokaNatamani kuondoka kwenye uzi, naaga lakini siondoki. Nikiona notification tu, narudi.
Staki [emoji13]BonnyC anansindkza tu kuja kuchukua namba
Aku mi sieMtanipa wote