Nitawashangaa BASATA wasipomfungia ZUCHU hata miaka mtano kwa Uchache

Waliwalea sasa wamewanyea live kwenye mjukwaa
 
Huyu alikuwa anakatika mbele ya Rais Mwinyi mwezi uliopita na Rais anakenua meno.

HAFANYI HIVI KWA BAHATI MBAYA, TAYARI KACHUKUA PESA YA KUTOSHA KUTOKA KWA WANAOUPIGANIA USHOGA.
Mmh......kile chama kina mbinu nyingi....siwezi kukupinga
 
Haka kadada ni kamalaya sana kenyewe miziki yake ni kuhamasisha tu uzinzi,honera Zanzibar kwa kuliona hilo.
 
Nyimbo zinazohamasisha uzinzi, ushoga na uvutaji wa bangi na shisha ndizo zinapendwa na mashabiki na ndizo zinazowaingixia wasanii kipato. Unataka waimbe nyimbo zenye maadili wafe njaa? Zingatia maokoto mkuu
Usiseme zinapendwa na “washabiki”, sema zinapendwa na watanzania walio wengi.

Hao si ndo wanapiga kampeni Za urais kwasababu ya nyomi iliyoko nyuma yao?
 
Siku zote napinga fungia fungia.

Kuna suluhisho zaidi ya hilo
 
Elimu elimu elimu. Hivi vilikua vipaumbele vya hayati lowassa. Wasanii wajinga kama zuchu na diamond wao ni wanasesere kuiga mastaa wa marekani. Hawana uwezo kutofautisha marekani na afrika au kuona hao mastaa wa marekani wanadhuru vipi kifikra waafrika. Wala hawajui wafanye nini sanaa yao iwe chanya kuhamasisha tabia njema au kuleta maendeleo. Hawaimbi chochote cha maana ila mapenzi ngono na mambo ya ovyo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…