Nitawashangaa BASATA wasipomfungia ZUCHU hata miaka mtano kwa Uchache

Nitawashangaa BASATA wasipomfungia ZUCHU hata miaka mtano kwa Uchache

Kuna wanamuziki wengi wanapaswa kufungiwa maisha kujihusisha na muziki.Huko kwenye filamu ndio laana tupu..
 
Watu sahvi wamevurugwa
Huyu muda si mrefu watamfungulia,wao ni kuomba msamaha na kufunguliwa
Washazoea

Ova
 
Mbali ya alichokiimba,, huyu anafaa kufungiwa maisha kwa kuwa na sauti bovu kabisa. Huyu hata kwenye karaoke hafai kuimba.
 
Back
Top Bottom