Nitawashangaa BASATA wasipomfungia ZUCHU hata miaka mtano kwa Uchache

Nitawashangaa BASATA wasipomfungia ZUCHU hata miaka mtano kwa Uchache

ayo matusi yame anza kuimbwa na Zuchu ?
Kinara wa nyimbo za matusi hapa bongo ni yule aliyeimba.....

🎶Tanu na afro shirazi sasa zimeunga kazaliwaaa mtotoooo...... 🎶Jina lake chama cha mapindizi🎶🎸

Mliowahi kuisikia hii ngoma wengi wenu ni vibabu sasa 😂😂
 
Kuelekea uchaguzi hata SMZ watamfungulia maana kwenye kampeni hawezi kosekana,japo walichokifanya Zanzibar wako sahihi kabisa....... nyimbo nyingi ninazoimbwa ni za kipuuzi na zisizo na maadili kwa jamii kabisa, lakini bado zinapigwa nikwasababu hao wanaoimba ndiyo makasuku wa viongozi,kina Harmonizer, Diamond na wengine..... nyimbo zao kama tunataka kufuata maadili hazifai kabisa.

2040 nitakuwa Rais.......huo upuuzi nitapiga marufuku kwenye Media
 
Back
Top Bottom