Nitawashangaa BASATA wasipomfungia ZUCHU hata miaka mtano kwa Uchache

Nitawashangaa BASATA wasipomfungia ZUCHU hata miaka mtano kwa Uchache

Mmenikumbusha kikwete alicheza wimbo unatamka "nyama ya mbele ni taaaaamu ya nyumaaaa inamafutaa" au ilikuwa samaki wanamla wanamgeuza geuza
Wakongwe tukumbushane
Walioimba wimbo huo ni Kundi la Muziki kutoka Zanzibar likiitwa Offside Trick

Nadhani hayo maudhui wanayoimba ni sehemu ya matendo yanayofanyika Kwa wingi huko watokapo
 
Back
Top Bottom