N ngaiwoye JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 2,150 Reaction score 3,225 Mar 7, 2024 #161 Bush Dokta said: Tunaamini BASATA watatimiza wajibu Wao. Click to expand... HAWAWEZ waleee
N ngaiwoye JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 2,150 Reaction score 3,225 Mar 7, 2024 #162 Bush Dokta said: Tunaamini BASATA watatimiza wajibu Wao. Click to expand... Wale hushughulika na watu wenye kazi ngumu kama Ney wa mitego. Hizi laini za mkuu" haziwashughulishi
Bush Dokta said: Tunaamini BASATA watatimiza wajibu Wao. Click to expand... Wale hushughulika na watu wenye kazi ngumu kama Ney wa mitego. Hizi laini za mkuu" haziwashughulishi
HORSE POWER JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 2,238 Reaction score 1,577 Mar 7, 2024 #163 Kuna wanamuziki wengi wanapaswa kufungiwa maisha kujihusisha na muziki.Huko kwenye filamu ndio laana tupu..
Kuna wanamuziki wengi wanapaswa kufungiwa maisha kujihusisha na muziki.Huko kwenye filamu ndio laana tupu..
BabuFey JF-Expert Member Joined Feb 13, 2023 Posts 1,659 Reaction score 2,913 Mar 7, 2024 #164 dronedrake said: Mondi anafaidi sana Click to expand... Na flat screen?😁
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Mar 7, 2024 #165 Watu sahvi wamevurugwa Huyu muda si mrefu watamfungulia,wao ni kuomba msamaha na kufunguliwa Washazoea Ova
Watu sahvi wamevurugwa Huyu muda si mrefu watamfungulia,wao ni kuomba msamaha na kufunguliwa Washazoea Ova
mtanzania in exile JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 1,379 Reaction score 1,276 Mar 7, 2024 #166 Dr Matola PhD said: Hiyo Zanzibar yenyewe sasa kuna Makunduchi, Mchambawima na Chokokocho. Click to expand... so what? na zanzibar hakuna mahali panapoitwa chokokocho, uliza uambiwe jina sahihi.
Dr Matola PhD said: Hiyo Zanzibar yenyewe sasa kuna Makunduchi, Mchambawima na Chokokocho. Click to expand... so what? na zanzibar hakuna mahali panapoitwa chokokocho, uliza uambiwe jina sahihi.
mtanzania in exile JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 1,379 Reaction score 1,276 Mar 7, 2024 #167 Mbali ya alichokiimba,, huyu anafaa kufungiwa maisha kwa kuwa na sauti bovu kabisa. Huyu hata kwenye karaoke hafai kuimba.
Mbali ya alichokiimba,, huyu anafaa kufungiwa maisha kwa kuwa na sauti bovu kabisa. Huyu hata kwenye karaoke hafai kuimba.