Nitawashangaa sana chama tawala mkimpitisha huyu wa sasa hiyo 2025. Viatu vimempwaya mno!

Kama taifa tutakuwa tumerudi miaka 10 nyuma.
 
Na sisi wananchi tujitahidi kuhakikisha taarifa zetu daftari la kupiga kura zipo sawa na utakapofika wakati wa kupiga kura tujitokeze kwa wingi hasa vijana na kuchagua viongozi sahihi

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kupiga kura sio tatizo, he tunaweza kulinda kura zetu maana jamaa wanambinu nyingi
 
Hakuna wakati Rais wa Tanzania amewahi kupatikana kutokana na kura za wananchi tangu mfumo wa vyama vingi ulipoingia nchini

Hapa tunapoteza tu muda na kufurahisha genge
Babu Duni Haji Alisema Wazi Wazi
 
Hivi hata kuzindua sanamu alishindwa kumuagiza muwakilishi, huyu mama huyu?
Huyu anaikimbia nchi/ofisi...hajui tena majukumu yake kama kiongozi mkuu, wenye pesa wamempoka nguvu zake.
Amebaki kukimbiakimbia tu kama dikidiki porini.
Akija hapa nchini ni kwa matukio maalum...mazishi na majanga ya kiasili kama ilivyokuwa kule Hanang.
 
Yaani Watz wavumilivu,

Kwahy mko tayari kusota na matatizo yote ya sukari, umeme, maji Hadi 2025?
 
Kwa wingi wa machawa walioko CCM, tutegemee maumivu. Upinzani nao wamekuwa machawa hata huwezi kumtaja nani tumchague.
 
vitunguu vimepanda bei sasa ni 4000 sh kwa kilo, ilikuwa sh 800 kwa kilo ajabu mnazungumzia sukari tu
 
Kwani hujawahi kuusikia Utaratibu wa Chama ni Miaka 10..;!
 
Na sisi wananchi tujitahidi kuhakikisha taarifa zetu daftari la kupiga kura zipo sawa na utakapofika wakati wa kupiga kura tujitokeze kwa wingi hasa vijana na kuchagua viongozi sahihi

Hili hatujawahi kutekeleza ni kelele tu mitandaoni
 
Tutashangaa na nafasi zetu, atapitishwa!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Na sisi wananchi tujitahidi kuhakikisha taarifa zetu daftari la kupiga kura zipo sawa na utakapofika wakati wa kupiga kura tujitokeze kwa wingi hasa vijana na kuchagua viongozi sahihi
Natamani uchaguzi uwe wa bila kificho, yaani kura ya siri. Mtu aingie kupiga kura, akimchagua amtakaye, wasimamizi wote wanaona aliyepigiwa kura na zinaenda kwenye kasha maalum la aliyepigiwa kura na hapo hapo kila msimamizi anaweka kumbukumbu ya hesabu ya kila aliyepigiwa kura. Hii itaondoa wizi wa ccm kuja na makasha yenye kura ndani yake, itaepusha wingi wa kuwa kuliko waliojisajili, na itaokoa muda wa kuhesabu, kwani, mtu wa mwisho kupiga kura katika kituo, atahimisha nani kapata ngapi, ni suala la wasimamizi kuwasilisha tu kumbukumbu zao.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Umeongea ukweli ila ni pumba tupu, huna akili masikini mkubwa. Dkt Samia anafaa sana. Wivu ndiyo unakusumbua ewe masikini wa kutupwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…