Nitawashangaa sana chama tawala mkimpitisha huyu wa sasa hiyo 2025. Viatu vimempwaya mno!

Tuwe wakweli, huyu mheshimiwa mama naniliu hajawahi kuchaguliwa na chama wala wananchi kushika nafasi ya rais wa nchi. Yupo pale kumalizia kipindi cha hayati na kuivusha nchi kwa mujibu wa katiba. Na tumshukuru kwa kazi hiyo.

Lakini kwa uwezo wake wa uongozi aliounesha katika kipindi hiki cha kumalizia ungwe ya hayati ni wazi kuwa viatu vya urais ni vikubwa mno kwakwe.

Taifa haliwezi kuwa na rais ambaye anaamini kutoka moyoni mwake kuwa sisi hatuwezi kitu na maendeleo yetu yatapatikana kwa kuwaomba na kuwalamba miguu mabeberu. Kutwa kucha kiguu na njia kuzurura huko kwa hao anaodhani wanatoa free lunch.

Taifa haliwezi kuchaguliwa rais na wakala wa CIA ambaye wapumbavu wanamwita 'king maker', na ambaye mheshimiwa anamwona ndio turufu yake ya kuendelea kubaki ikulu na ameamua kumweka karibu na anaambatana nae huku na kule.

Taifa haliwezi kuwa linahangaika na matatizo yaleyale yaliyomalizwa na mtangulizi, mambo kama migao ya umeme, uhaba wa maji, uhaba wa sukari, uhaba wa fedha za kigeni, mfumuko wa bei, rushwa na ubadhirifu serikali N.K ni aibu kwa taifa na kiongozi wake.

Wazalendo ndani ya chama walifanya uzalendo wa kutukuka ile 2015 kulilinda taifa, i expect nothing less hiyo 2025. Upigwe mchujo kamili apatikane mtu sahihi.

Nilikuwa na matumaini sana na huyu mheshimiwa, lakini ukweli tuuseme tu, ngazi ya taifa sio sehemu ya kufanya experiment za uongozi.
Hakuna Rais hapa ni bomu Tena la kienyeji
 
Lile popoma Lucas mwashambwa likikusikia kazi unayo
 
Chura wakuruka ruka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huyu anaikimbia nchi/ofisi...hajui tena majukumu yake kama kiongozi mkuu, wenye pesa wamempoka nguvu zake.
Amebaki kukimbiakimbia tu kama dikidiki porini.
Akija hapa nchini ni kwa matukio maalum...mazishi na majanga ya kiasili kama ilivyokuwa kule Hanang.
Anaitwa chura

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Rais Dkt Samia anatosha kabisa, twendw na Dkt Samia 2025. Madhara ya kubadili ni kuwa na rais 1/2 Dkt Magufuli na 1/2 Dkt Samia, matokeo yake itatuchukua muda kumzoea. Ila Dkt Samia tumeshamzoea
Njaaa njaa njaa
 
Mazoea kazoea kazoa.
 
Back
Top Bottom