Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

Pyramid Business.. Hakuna cha zaidi..

Wachache wa kwanza ndio watafaidika, watakaofata ndio cha moto watakiona..

It's the likes of Mr Kuku, Deci, Qnet..
Pole sana mkuu,mimi siyo trader wala sina bitcoin lakin ulichofanya unefananisha ugali na chops
 
Warren Buffet, George Soros na akina Ray Dalio wanazalisha bidhaa gani?

Au wao sio rich?
 
Wizi mtupu
 
Mimi sio muumini wa hiyo theory ... Huo ni mtizamo wako Chief, kuna wengi sana akina Warren Buffet, Carl Icahn, George Soros.. et al wametengeneza Billions bila ku produce goods au service..

Walikuwa wanacheza kwenye speculations tu kama hivi
Wewe warren Buffet umemsoma au unamsikia

Kasome vizuri Stocks and Shares

Yule ni Trader aliyekuwa amewekeza na kuzichezesha vizuri portifolio zake

Alikuwa mjanja anauza share zake akiona mbeleni kampuni itayumba na alinunua pale alipoona mbeleni kuna neema

Wewe unaongelea Virtual money (Bitcoin) au online forex trading ndio hapo watu mnatofautiana concept

Mchungaji Bushiri yeye alijifanya anapata mapesa kwenye Dini na Forex kama wewe kumbe anaongoza genge la uharifu na anatakatisha pesa kwa mujibu wa mamlaka za south Afrika

Sent from my vivo 1805 using JamiiForums mobile app
 
Somewhere, someone is making good monies out of it, so sio vizuri kutukana hustlers wa kwenye bitcoin na forex.

Kama kitu hutaki, potezea kimya kimya.. ila usiwavunje watu moyo.

Hivo yani.

There are people who make profits from trading forex. But that's like 0.01% of the retail traders. I'm a trader (not forex) and I can tell you that very few people make money from trading in the long run. In the short term, very many people make money, and this hooks them to trading. They give it all back and some in the long run.

Financial markets are like a casino to average joe traders. You can win in the short term, but if you play the game long enough the house wins. Also, if you see anyone with a course, that's not a true trader.

Never trust any poser with a product or a service to sell about trading. Real traders make money from actual trading, not selling signals, strategies, bots, or courses.
 
Umeshasema hisa yaani You give them money and they give you paper equivalent to what you have contributed

Hiyo Bitcoin au online forex you are just trading ,Ghafla akaunti inapigwa na broker kimya kimya unasingizia nilisahau kuclose deal

Ahaaa,Hao mabroker they are clever ,Unadhani kama wanavuna mapesa kwanini Mabroker wanakusanya pesa za semina na kuuza vitabu si wangekesha wanavuna pesa mtandaoni

Sent from my vivo 1805 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mengi huyafahamu.. Kwani kazi za financial markets ni nini?

Inawezekana hujui connection ya financial markets na hizo unazozisema real business.. tuanzie hapo.. nataka nikupe elimu
Wewe ni tapeli kama matapeli wengine

Bushiri ni Master wa forex kumbe alikuwa anajificha huko huku anatakatisha pesa

Watu wanaouza madawa ya kulevya wote wanasingizia pesa wanapata kupitia forex

Ontario wa Pili wewe


Sent from my vivo 1805 using JamiiForums mobile app
 
WB anawekeza kwenye Kampuni zinazozalisha au kutoa huduma.
Hata hujaelewa!!

Nimeuliza hivi..

Baffet anazalisha bidhaa?

Pia kabla hujajibu rudia kusoma comment ya niliye kuwa namuuliza swali usipende kudandia treni kwa mbele.
 
Primitive thinking
Waliisema akina nanii kipindi yule dogo Tapeli kaja na story zake za kusadikika kuhusu utajiri wa mashamba...akiwa anawaandaa na kile kiinimacho cha kuitwa "FOREX" wapambe kibao wakaja oh hii ndio biashara kubwa wallstreet Mbona mnatufosi tuwe matajiri jamani wakati sie tumesharidhika na mkono kwenda kinywani tu.
 
Huzijui hata biashara za Warren Buffet?? Mbona unaonyesha ujinga wako waziwazi
Hii ukiitazama ni kama dini.. yaani ukiitaka lazima uamini tuu.. hauhitaji kuthibitisha we amini tuuu.. na wanaquote vitaarifa nusu nusu na havitakiwi kuwa na logic kwa upana wake a long as vinaendelea kuimarisha imani yao.
 
Mi nimekuelewa boss
 
Mimi sio muumini wa hiyo theory ... Huo ni mtizamo wako Chief, kuna wengi sana akina Warren Buffet, Carl Icahn, George Soros.. et al wametengeneza Billions bila ku produce goods au service..

Walikuwa wanacheza kwenye speculations tu kama hivi
Kuna wale twins bilionaires wa Bitcoin

The winklevos brothers school mates wa mark Zuckerberg

Hawa watz achana nao mi huwa hata sinaga stimu kuelezea hii kitu mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…