Umesema kitu kizuri sana lakini ku invest kwenye coin sio kwenye Bitcoin tu, zipo coins nyingi sana na baadae zinaweza kuwa na value kama bitcoin tu. Ie unaweza nunu 'V chain' coin sasa hivi kwa bei rahisi ila badae itakuwa juu sababu ya project yao. Naweka list za coins mtu anaweza nunua now akapata faida kubwa baadae.
Cardano, Zilliqa , Doge , KNC , Theta na nyinginezo.
Naweka mfano wa portfolio yangu ya coin hizo za kuuza baadae baada ya kama 3 yrs. Also nafanya daily trade mfano juzi mpaka leo niliweka $430 kwenye Graph coin 'GRT' nilinunua coin 3107 kwa $0.13 kwa sasa bei ni 0.74 nikiamua kuuza napata almost 3K kwa investment ndogo niliweka kwenye hiyo coin tu. Kwahiyo crypto ni kuisoma na kufatilia graph with small investment unaweza tusua.
View attachment 1655755View attachment 1655756View attachment 1655757