Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,212
😀Yeah the problem ni how to break down Bitcoin. Kwakua hakuna anaeicontrol itaendelea kua na thamani katika ile cult yake.
Watu wa-mine information za ufugaji wa kuku wa kisasa.. na Kilimo cha matikiti... Huku watapata Fedha ya madafu hakika.. Hii Cult itasapeleka kubwa masikini wa kutupwa... Maana wajanja wa kukaa kwenye realm ya kupiga kwa sisi watz hakuna...
Wale wengine wanauzishwa alovera gel 🙂 kwa inflated prices na Mi-alovera imejaa nje wameshindwa kukamua juice wanangojea itoke Ulaya ... Watumwa kutafuta Watu watatu watatu 🙂
Nawaheshimu sana wazee wa Sarafu ya Rupia.. local Con-men nawakubali sana... Ila hawa Qnet sijui Bitcoin siwakubali katu.. Kwanza ni matapeli ambao hawataki kukubali kuwa ni matapeli.. kisa anayetapeli yuko ulaya.. mmmh!
Na hiyo ya kuwa ulaya ndio mbaya zaidi.. bora hata watapeli hela ibakie hapa nyumbani.. wanatapeli halafu pesa inaenda ughaibuni .. 🙂