Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

Fanyia kazi mkuu.. financial markets inaweza kukupa pesa .. juzi tu january hisa za CRDB zilikuwa zinauzwa sh 90 leo hii zipo kwenye 190 hapo ni faida mara mbili ya ulichowekeza, kuna utapeli hapo?

Inategemea tu mtizamo wa mtu unavochukulia taarifa fulani
Labda ungewaambia hisa Ni stock kwa kiingereza ndio watakuelewa

Maana watu huwa hawajui kutofautisha Mambo [emoji1]

Sasa huku dunia Kuna stock markets zenye ujazo wa pesa sio hizo za DSE bwana stone akiingilia tu dakika tu mko zero [emoji1787][emoji1787]
 
Kuna wale twins bilionaires wa Bitcoin

The winklevos brothers school mates wa mark Zuckerberg

Hawa watz achana nao mi huwa hata sinaga stimu kuelezea hii kitu mtaani
Nimekoma mkuu.. jaribu kusoma hicho kitabu cha Michael Steinhardt nime attach kwenye comment
 
Mkuu

Mimi sio masikini

Infact far from it.....

Wewe ni tajiri kiasi gani kuita watu wengine masikini?hebu tupe list ya your ownerships,taja majina ya hizo franchises tu,hata evidences zake hatutaji,tutajie

Huna

Huna mamlaka ya kuita wengine masikini wakati huna cliche' zozote za wealth

Kusoma vitabu sio kua tajiri mzee....matajiri ni doers sio readers!

Unamaliza unaweka kitabu chini unafanya mpaka mwisho...mnakuja hapa na book titles za kimaku-maku!

Tutajie umefanya nini,ume-invent nini.....Brela kwenye Patent Journal una patents ngapi na namba zake ni ngapi na ngapi tukasome wenyewe tuone kweli

Cosota una inventions gani ulizosajili kwenye category ya software or art ulizonazo,huna!

Una biashara zipi,zitaje brand names zake,huna!

Kila siku unaunguza accounts za kimaku-maku za Forex unachoshindwa kuelewa hua una trade against the platform owners themselves hivyo aligorithms lazima waziweke biased na wao...

Platform owner sio neutral part kati ya sellers na buyers....uelewe hilo

Masikini wa common sense..bure kabisa...na mtaendelea kuunguza accounts zenu mpaka muuze mashamba...

Many are here crying....bure kabisa
Umeandika Ushuzi, endelea kuishi kwa shemeji yako we Kei
 
Hapana

Mimi nilifundishwa na wazazi wangu kwamba ukitaka kua tajiri na ukafanikiwa maishani na ukawa na furaha,jenga vitu kwa mikono na ubunifu wako ukatafuta wateja wakawauzia ukapata kipato ukaendesha kampuni yako ikafanikiwa..

Nilipofika shuleni,walimu na maprofessors wangu waliniambia fanya innovation,design,jenga,tafuta wateja uza pata fedha,tumia kwa uangalifu,flip again,maximize tena tena....

Hela za kwenda Bitcoin sizipati hewani,nazipata kwa kuendesha biashara yangu kwanza nipate hela ndio nije huko

Kuja huko bila kua na real business ni wizi,hatuwezi jenga taifa la kuuza bitcoins na forex tu,lazima tuzalishe kwa mikono,tushike tope,tugundue viwanda tutoe bidhaa tuuze kwa wateja,sio hizo blah blah

Na vitabu,siomi vitabu vya motvational speakers...nasoma real people with real experiences na hivi vya eti hatua 5 za kufanikiwa,and other blah blah
💯💯💯
 
Humu ndani ukizungumza habari za Forex na Bitcoin, unaitwa tapeli. Iteni mpendavo lakini lazima niwachangamshe akili kidogo.

Bitcoin moja leo imefika USD 23,000 ( Kama Tzs 53 Million.

Na tarehe 16 March mwaka huu 2020, bei ya bitcoin moja ilikuwa inauzwa kwa Tzs 11 Million, maana yake ni kwamba kama uliwekeza milioni 11 mwezi march, sahiv ungekuwa na faida kama Tzs 42 Million.

Yaani ungeweza kabisa ku postpone kununua IST na ukarisk kwenye bitcoin, ungekuta sahiv unaongelea kununua Ford Ranger!!.

View attachment 1652679

Anyway, lengo la uzi wangu sio kuwatia watu machungu, najua kuna matomaso hapa wataniuliza, wewe umetengeneza faida ya sh ngapi mpaka sasa..?

Lengo langu kwenye huu uzi ni kuwakumbusha kwamba, FINANCIAL MARKETS IS REAL..

Somewhere, someone is making good monies out of it, so sio vizuri kutukana hustlers wa kwenye bitcoin na forex.

Kama kitu hutaki, potezea kimya kimya.. ila usiwavunje watu moyo.

Hivo yani.
Umesema kitu kizuri sana lakini ku invest kwenye coin sio kwenye Bitcoin tu, zipo coins nyingi sana na baadae zinaweza kuwa na value kama bitcoin tu. Ie unaweza nunu 'V chain' coin sasa hivi kwa bei rahisi ila badae itakuwa juu sababu ya project yao. Naweka list za coins mtu anaweza nunua now akapata faida kubwa baadae.
Cardano, Zilliqa , Doge , KNC , Theta na nyinginezo.
Naweka mfano wa portfolio yangu ya coin hizo za kuuza baadae baada ya kama 3 yrs. Also nafanya daily trade mfano juzi mpaka leo niliweka $430 kwenye Graph coin 'GRT' nilinunua coin 3107 kwa $0.13 kwa sasa bei ni 0.74 nikiamua kuuza napata almost 3K kwa investment ndogo niliweka kwenye hiyo coin tu. Kwahiyo crypto ni kuisoma na kufatilia graph with small investment unaweza tusua.
Screenshot_20201220-203427_Binance.jpg
Screenshot_20201220-204010_CoinGecko.jpg
Screenshot_20201220-204022_CoinGecko.jpg
 
Pyramid Business.. Hakuna cha zaidi..

Wachache wa kwanza ndio watafaidika, watakaofata ndio cha moto watakiona..

It's the likes of Mr Kuku, Deci, Qnet..
yaani wewe ndio lijinga la mwisho yaani backbancher kabisa
 
akikujibu nidip mkuu
Kama una bitcoins yes unaweza kuuza na ukakamata pesa yako mkononi. Mimi kwa ushauri tu kwa mtu ambaye unataka kumake money achana na bitcoin yenyewe tafuta coins zingine za kutrade zipo nyingi. Unaweza kuweka hela yako kwenye BTC leo na kesho ikashuka mpaka $17,000 kwahiyo utapoza pesa nyingi sana. Kwa bei ya btc kwa sasa ni coin ya wenye pesa ndefu kwa wenzangu wa kuunga sio coin salama kuweka pesa kwa sasa. Ila ikishuka price mpaka $17 K kushuka chini yes unaweza nunua. Possibility ya kushuka ipo kubwa tu maana itaingia kwenye consolidation price soon na ikianza hivyo na market ikiwa mbaya agains $ itashuka tu.
 
Nikisema Bitcoin ni Upatu uliozeeka... Na Coin nyingine ni upatu mpya. Wanaojiunga mapema wana nafasi ya kuwa rewarded Kujenga imani kwa watakaopigwa baadae... Nitakuwa nakosea.!?
 
Nikisema Bitcoin ni Upatu uliozeeka... Na Coin nyingine ni upatu mpya. Wanaojiunga mapema wana nafasi ya kuwa rewarded Kujenga imani kwa watakaopigwa baadae... Nitakuwa nakosea.!?
Tofauti na upatu coin market ni strategy yako ya kusoma na kuchanganua market. Kama ilivyo traditional stock market tu. Upatu unapigwa straight forward.
 
Tofauti na upatu coin market ni strategy yako ya kusoma na kuchanganua market. Kama ilivyo traditional stock market tu. Upatu unapigwa straight forward.
Na basically Ukiachana na strategic speculation for gain... Coin Hizi ninaweza kuzitumia wapi!?

Eg. If i buy dollars I can use them to buy things, pay for services... Hizo coin zinatumika wapi... Yaani who is the end-user wa hizi coin!?

If i wanted to become a supplier of these coins for a small margin to the end user(much larger market)....that's why am asking.
 
Unatumia ku trade kwenye platform za trade na pia unaweza uza kwa terms ya $ na kuhamishia kwenye AC yako.
 
Umesema kitu kizuri sana lakini ku invest kwenye coin sio kwenye Bitcoin tu, zipo coins nyingi sana na baadae zinaweza kuwa na value kama bitcoin tu. Ie unaweza nunu 'V chain' coin sasa hivi kwa bei rahisi ila badae itakuwa juu sababu ya project yao. Naweka list za coins mtu anaweza nunua now akapata faida kubwa baadae.
Cardano, Zilliqa , Doge , KNC , Theta na nyinginezo.
Naweka mfano wa portfolio yangu ya coin hizo za kuuza baadae baada ya kama 3 yrs. Also nafanya daily trade mfano juzi mpaka leo niliweka $430 kwenye Graph coin 'GRT' nilinunua coin 3107 kwa $0.13 kwa sasa bei ni 0.74 nikiamua kuuza napata almost 3K kwa investment ndogo niliweka kwenye hiyo coin tu. Kwahiyo crypto ni kuisoma na kufatilia graph with small investment unaweza tusua.
View attachment 1655755View attachment 1655756View attachment 1655757
Hiyo ni exchange gani mkuu unatumia ?
 
Back
Top Bottom