Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

Yeah the problem ni how to break down Bitcoin. Kwakua hakuna anaeicontrol itaendelea kua na thamani katika ile cult yake.
😀
Watu wa-mine information za ufugaji wa kuku wa kisasa.. na Kilimo cha matikiti... Huku watapata Fedha ya madafu hakika.. Hii Cult itasapeleka kubwa masikini wa kutupwa... Maana wajanja wa kukaa kwenye realm ya kupiga kwa sisi watz hakuna...

Wale wengine wanauzishwa alovera gel 🙂 kwa inflated prices na Mi-alovera imejaa nje wameshindwa kukamua juice wanangojea itoke Ulaya ... Watumwa kutafuta Watu watatu watatu 🙂

Nawaheshimu sana wazee wa Sarafu ya Rupia.. local Con-men nawakubali sana... Ila hawa Qnet sijui Bitcoin siwakubali katu.. Kwanza ni matapeli ambao hawataki kukubali kuwa ni matapeli.. kisa anayetapeli yuko ulaya.. mmmh!

Na hiyo ya kuwa ulaya ndio mbaya zaidi.. bora hata watapeli hela ibakie hapa nyumbani.. wanatapeli halafu pesa inaenda ughaibuni .. 🙂
 
Utapeli utaingia pale mtu anapokuambia leta hela yako halafu utakua unapewa kiasi cha hela baada ya muda. Bitcoin na Forex sina tatizo nazo nina tatizo na watu wanatoa hela kwa mtu awafanyie kazi wao wakiwa wamelala then wapate faida. Sababu zipo platforms ambazo unaweza kuingia mwenyewe na kujifunza na kufanya hizo investments zako. Kitonga haijawahi kumuacha salama.
 
Kununua Shares (Stock market) ni sawa kabisa... Kubet kwenye Upandaji wa thamani wa Fedha ni kamari tu kama Sports betting...

Na online forex haisave any purpose zaidi ya kuwa kamari...true forex traders wanasaidia Watu kwa kufacilitate upatikanaji wa fedha za kigeni kwenye masoko ya bidhaa...

Hawa wa mtandaoni ni speculators and they are saving no one..except their ego to make money by making their product scarce..ukitaka kujua unachokifanya ni muhimu acha kukifanya uone kinaathiri wangapi...

Online traders ni wanakamari na Forex ni kamari.. sifa kubwa ya kamari "The house will always win"... can you name 20 people hapa Tanzania waliofanikiwa in 200k $ level kupitia forex trading! Au jaribu kuuliza wangapi wameunguza Accounts ..wametoka Kapa.. ukitoa winning za dola 5000max!

Kwa Bitcoin 🙂 nadhani tumekubaliana... Ages ago kulikuwa na [emoji255] wadutch wakapiga pesa zao ... Kwa kifupi hakuna kitu kipya.. maua ya tulip yaliuzwa ghali sana... Despite the fact ni maua tu...

Nadhani Forex ni Kamari kama kamari zingine na Bitcoin ni Utapeli uliopakwa rangi tu.
 
Let's wait and see the cult is getting fat
 
Possibility ni kubwa ya all mine asset going to zero value at mainet time.
 
Ndio Forex ni Kamari mkuu, what else??
 
niko foward on learning can you be my mentor
 
USD Coin ? Ndio ipoje hii tuanze kuifuatilia
 
Naomba link mzee
 
Naomba niweke senti mbili zangu. Biashara hapo ni nini haswa? Thamani ya bit coin ni ipi haswa?
Maana biashara isipokuwepo basi ni kamari kama ile ya simbi ila tu yenyewe ni advanced technology
 
Mwenye hela Hana muda wa kukesha kwenye Jamiiforums .Acha wizi hakuna hela rahisi Hivyo Vijana fanyeni kazi. Nilikuona pale Jangid Plaza ukiwaibia Watu mpaka Leo bado hujaacha pamoja na kuiba bado hujatajirika .fedha Zina mkondo wake usipoufuata hata upate bln 1 itaisha tu.Nawatangazia Tena huyo Ni Mwizi msithubutu kuchezea pesa zenu
 
Hii ni biashara ambayo hua inachagua wachache watakao pata kwa kiasi ili awe mashuhuda kwa wengine kujiunga na wao waendelee kupiga pesa

Sasa ukiona watu wanasema huo ni utapeli unakuta wako waiojaribu bila kuvuna chochote na wanakuja kusikia tu maneno ya wachache kama wewe hapa.

Usiwalazimishe watu kufanya kilicho goma kwenye akili zao
 
Qnet juzi watu wanalia nyie bado mnaongea na nantombeka awajaze mabilioni ya upatu 🤣🤣🤣
 
Mchungaji yupo kwenye forex hiyo siyo kamari?.
 
According bro you brain

Congratulations [emoji14]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…