Mkuu kwani unalazimishwa kusoma hizo nyuzi,? kila kitu kina audience au wateja wake! Usilazimishe misimamo yako iwe sawa kwa woteNipo sekta ya innovation na uzalishaji
Unaniuliza kuhusu Financial Markets najua kiasi changu,zaidi unajua wewe
Sitaki Forex wala Bitcoin kwa sasa
Usinilazimishe
Wewe pia hujui chochote kwenye sekta yangu ya innovation and manufacturing,ila sikulazimishi uje huku
Nyie mnafungua mauzi kila siku mnataka watu waje huko eti kuna pesa sana,mtu hataki yanini unamfungulia uzi kila siku?
Wewe umepata hela sana,tuzione basi!
Huna
Nani kakulazimisha.. acha kuendelea kuwa kuenyesha ujinga.. muite hata mwanao kama unaye.. akusaidie kusoma uzi kwa mara nyingine halafu umuulize kama kuna mahali, mtoa mada amelazimisha watu..Nipo sekta ya innovation na uzalishaji
Unaniuliza kuhusu Financial Markets najua kiasi changu,zaidi unajua wewe
Sitaki Forex wala Bitcoin kwa sasa
Usinilazimishe
Wewe pia hujui chochote kwenye sekta yangu ya innovation and manufacturing,ila sikulazimishi uje huku
Nyie mnafungua mauzi kila siku mnataka watu waje huko eti kuna pesa sana,mtu hataki yanini unamfungulia uzi kila siku?
Wewe umepata hela sana,tuzione basi!
Huna
Na anasema haelewi vema kuhusu financial markets ila nashangaa anajeuka kuwa msemaji..Mkuu kwani unalazimishwa kusoma hizo nyuzi,? kila kitu kina audience au wateja wake! Usilazimishe misimamo yako iwe sawa kwa wote
Hiyo kwa lugha nyepesi inaitwa 'self defence'Mentality ya watu tayar ipo corrupted.. yaani kuleta tu uzi wa aina hii.. kuna tayar wanadhani eti nataka kuwatapeli akati sijawaomba hata kumi..
Yaani watu hawaangalii upande wa elimu wanaangalia pesa na kutapeliwa.. ni mentality za kimaskini
embu niwekee link hapa na mimi nkafaidike na hizo network marketing, nisije nikawa nimezubaa nikapitwa na mamboEither way.. price ina move popote. Itategemea na demand na supply..
Wajina, hii sio network marketing.. kama unataka ku invest kwenye cryptos ingia google uisome kwanza uieleweembu niwekee link hapa na mimi nkafaidike na hizo network marketing, nisije nikawa nimezubaa nikapitwa na mambo
sawa, ngoja nikale mema ya nchiWajina, hii sio network marketing.. kama unataka ku invest kwenye cryptos ingia google uisome kwanza uielewe
This is PRIMITIVE kilichobadilika ni platform inakofanyikia Hii issue ya electronic coins.According to you. PERIOD
Namuona namna anavyorukaruka, anapiga porojo tuNa anasema haelewi vema kuhusu financial markets ila nashangaa anajeuka kuwa msemaji..
Ana maneno mengi ila porojo nyingiNamuona namna anavyorukaruka, anapiga porojo tu
Asee hii Tabia inashika sana kasiAna maneno mengi ila porojo nyingi
Hawa ni ndugu mkuu
Tatizo lako kubwa wewe unataka kuwaaminisha watu kile unachofikiria weweSio msimamo wangu pekee yangu,watu wengi unaochat nao hapa wote wana negative views with all these you are saying!
Kusema ni mimi pekee yangu unaonesha wewe sio honest opinion giver!
Uzi umekuja public,ni wajibu wetu public kuusoma na kuchangia bongo zetu zinavyotaka
Kama ulikua hutaki watu kama mimi tuchangie basi usingeuleta public hivi!
Kila kitu kina audience yake,hapa public audience ipo mchanganyiko,utapata views mchanganyiko,wewe ndio uvumilie majibu na sio public!
Uzi sijautoa mimi pia lakini acha watu wawe impacted na knowledge, kwani kuna mtu kachangishwa pesa humu? Mbona zipo nyuzi nyingi pia humu zinatoa elimu mbalimbali kwa faida ya watu lakini hatuwaoni mkipinga, ila when it comes to Forex ,Cryptocurrency and digital currencies mnatokwa povu??Na wewe hulazimishi?
Mimi sijatoa uzi,mmetoa nyie!
Tuko hapa tunapambana kutoa ideas,best ideas win!
Wewe bwana,toa nondo tukuelewe,acha fujo!
Forex imebadilisha watu wengi sana mkuu from nothing to something, hawa wanaifananisha na haya ma pirramid ya mtaani.Mkuu utapoteza energy yako.. kuna kundi la watu hawataki kujifunza wanaamua kurahisisha mambo ili wajipe excuse kwanini hawafanyi jambo fulani