This is PRIMITIVE kilichobadilika ni platform inakofanyikia Hii issue ya electronic coins.
Hapo katikati kulikuwa na Mchezo wa Rupia ya mjerumani... Very clever scheme.. mtu anakuja Bushi ananunua pasi sijui ina alama gani na Rupia.
Mnunuzi anajifanya ameweweseka kwa alichokiona ..anadai kwa kuwa hela ni nyingi hana uwezo wa kulipa, anamuomba mwenye mali.. ambaye hajui hata thamani yake waelekee pamoja mjini wakamuone dealer Mkuu.
Wanafika kwa dealer, naye anaogopa mmh.. hii hana hela yake.. na biashara Hii mwiko uzurumaji..
🙂 ila wapo wagiriki Nairobi wanaweza kabisa kununua. Hapo unakuta value inaongelea milioni 300 kwa coin..
🙂 (matapeli sio Watu)
Mwisho kabisa unakuta coin imekosa alama moja tu au nukta imekosekana.. au mwaka haumatch basi mnarudi.. hapo mko hyped mnaanza kuisaka yenye mwaka unaotajwa..
🙂
Mara mnasikia kuna mtu Sumbawanga anayo.. mnasafiri mnafika yeye anakuwa kauzu hana mpango na maujinga yenu ya safari kama mnataka mmpe hela..
🙂
Anataja hata milioni 100 hapo ndio inakuja kama inakataa.. unakuta mzee kauza nyumba kwenda kununua coin ya mjerumani, mara pasi.. sijui sufuria
🙂 😀
Long story short Bitcoin ni kitu kile kile.. value ni perception... Na Watu wachache wanaweza wakaamua hata kinyesi cha kanga kiwe na value ..ukiwa Mjinga utajikuta unakimbilia kila utumbo wa kuku unaoanikwa...
Universally agreed upon system ipo.. kuliko kukaa unapoteza muda kumine Bitcoin.. mine information it's far more great and valuable than huo utumbo.
Na ulisha lipa 23000$ mkawa wengi somehow.. value inashuka mpaka zero unakuwa umepoteza kila kitu... Maana hizi coin haziko stable na hakuna system ya kucontrol hilo..
#Ushauri#
Utajiri uko sehemu mbili tu.. Either ukae kwenye supply side of money.. Banking and Insurance etc. Au ukae kwenye Assets.. where money is spent.. Industries, Real estate etc... Wengine wote hapa katikati wanacreate vallue for the two groups... ASSETS HOLDERS AND MONEY SUPPLIERS.