Mkuu wewe ni kichaa mpaka udanganywe? Kijana umejaa sumu kweli[emoji23][emoji23]Hapana,hapa umekuja na Forex na Bitcoin
Sana sana Forex....
Hii ya kutudanganya hapa eti "Financial Markets" kama yote ni uongo.....
Unaongelea FOREX tupu hapo....hakuna any other instruments za finances ambazo ni tradable ulizozungumza,acha uongo!
Forex thieves!
Wewe hujui kitu. PERIODNitafute elimu ya nini?
Maana wewe ni authority ya kujua huyu anajua na huyu ajui?
Wewe ni nani hasa wa Financial Markets?
Unataka kufahamu majina yao ikusaidie nini ? wewe elewa tu hivyoNani na nani huu uzi ni msaada kwao na waliconfess kwako?
Wataje tuwajue na tuwaulize
Huna jina....
Hapa unaweza ongea lolote ukadhani tutapokea bila swali...lete majina ya hao walioona msaada wa huu none sensical thread!
taja majina yao!
Kuna grouo lilianzishwa lakuwaketa watu na ushawishi wa kujiunga kwenye hii kitu Bitcon toka mwaka 2018 Wanagroup wamejikatia tamaa baada ya kuona hii kamari ni imani na sii uhalisia.Humu ndani ukizungumza habari za Forex na Bitcoin, unaitwa tapeli. Iteni mpendavo lakini lazima niwachangamshe akili kidogo.
Bitcoin moja leo imefika USD 23,000 ( Kama Tzs 53 Million.
Na tarehe 16 March mwaka huu 2020, bei ya bitcoin moja ilikuwa inauzwa kwa Tzs 11 Million, maana yake ni kwamba kama uliwekeza milioni 11 mwezi march, sahiv ungekuwa na faida kama Tzs 42 Million.
Yaani ungeweza kabisa ku postpone kununua IST na ukarisk kwenye bitcoin, ungekuta sahiv unaongelea kununua Ford Ranger!!.
View attachment 1652679
Anyway, lengo la uzi wangu sio kuwatia watu machungu, najua kuna matomaso hapa wataniuliza, wewe umetengeneza faida ya sh ngapi mpaka sasa..?
Lengo langu kwenye huu uzi ni kuwakumbusha kwamba, FINANCIAL MARKETS IS REAL..
Somewhere, someone is making good monies out of it, so sio vizuri kutukana hustlers wa kwenye bitcoin na forex.
Kama kitu hutaki, potezea kimya kimya.. ila usiwavunje watu moyo.
Hivo yani.
Too much tocxic[emoji615]Kichaa tu ndio anadanganywa?
Wewe mwenyewe unadanganywa mara kibao,wewe ni kichaa?
Stop this nonsense,you are better than this
Sumu?Nah..
Wewe ndo umejaa sumu!
Kwanini usinichukulie kama economic activist? Kwani hawa wanaharakati ambao kwa mfano wanapigania haki kwa mfano za watoto ama haki nyingine zozote, wanapata nini in return?Unajua ni kwanini wanahofu kuwa wanaweza kutapeliwa? Kwa sababu nchi kama Bongo hakuna mtu ''anayepigia debe'' tena kwa nguvu zote kueleza watu njia za kuwa matajiri. Unakuta mtu anatumia nguvu na muda wake kuwahisi watu wafanye jambo fulani eti watatajirika! uzoefu wangu unaonyesha watu wengi kabisa wakipata channel ya mchongo hutaka watu wengine wasijue hata kidogo na wapo tayari hata kufanya hujuma ili wengine wasijue. Sasa wewe huu wema umetoka wapi?
Ndio ukweli wenyewe chief...Nilijua mtajitokeza wenye mtizamo huu.. sijashangazwa hata kidogo..
Imeweza ku break USD20K ambayo ilikuwa ni prevuous all time high.. so possibility ni kwenda up..Kwaiyo hapa unataka kuzungumzia nini. Embu nipe uwelewa wako kwenye suala la kuuza na kununua au currency
Prediction zako ni zipi mpaka March mwakani kwenye BTC kana kwamba rate ya btc 1 itaendelea kupanda au huwenda ikashuka ?
Mbona nimesema wazi kwenye uzi, pitia tena kama hujaona mahali nimeandika " Financial market is real".. tatizo lako umeshachagua upande kwa hiyo sikulazimishi kufikiri vyovyote..waza chochote.. una uhuru wa kufanya hivoHapana,hapa umekuja na Forex na Bitcoin
Sana sana Forex....
Hii ya kutudanganya hapa eti "Financial Markets" kama yote ni uongo.....
Unaongelea FOREX tupu hapo....hakuna any other instruments za finances ambazo ni tradable ulizozungumza,acha uongo!
Forex thieves!
Tatizo kuna taarifa nyingi sana juu ya hili.. na nyingi zinashindwa kujibu maswali hayo! Sasa nikikutana na wataalamu kama ninyi.. natumia fursa kujifunza...Mkuu ungejaribu kujishughulisha kidogo maana google wamejibu maswali mengi uliyoyauliza, Jaribu kuitafuta elimu ya suala husika before hujaja public ku criticize, maana inaenekana kabisa wengi wenu mpo kupinga ilhali hamna hufahamu na suala husika
Mkuu si uzipige kwanza hizo hela na watu wako wanao kuzunguuka mpaka tuone wivu.Vip mkuu.. wewe unaniweka kundi gani? Tapeli au muelimishaji?
Muktadha wa AlhurhumWapi imeharamishwa?? Unazungumzia muktadha upi???
πππ Na serikali ipo tu inaangaliaSasa hilo jina lako mbona matusi bro
πππMuelimishaji lakini akili kumkichwa
πππOntario huyu huyu anayepiga picha nyumba za watu afu anasema ni nyumba aliyowajengea wazazi wake?
Kwa hiyo hawa unao shawishi mfano wawe 200 kati ya hao 195 wapigwe dola miamia nawee si unapata humo tukanwa tu mkuu mana upo kaziniWatu wengi wa Tanzania? Au unaongelea duniani??
Kwenye financial markets watu wakiwa wengi kwenye soko ndo efficient inaongezeka in terms of liquidity.
Ndo itakuwa vizuri kwa soko endapo kama watu wengi wakiwa wawekezaji
πππWaite Waite
Mjomba Mpoto Fts Banana Zoro
Huo Wimbo Nyoko Sana
πππ€£ππ
πππ Jf mamaeeWakuu nimependa coment zenu zilivyo fupifupi.
Endeleeni kumwaga ugali wa Naantombe Mushi
Kuna watu wanasema ninekuja kuwatapeli watu.. yaani kutoa taarifa tu kuhusu bitcoin ishakuwa nongwa
Ndiyo nikakuambie kuwa wema wa kuwafunulia fursa wengine hapa Bongo hauko. Nazungumza kutokana na uzoefu wangu. Japokuwa wewe unaweza kudhani unafanya hivyo kwa ajili ya ''wema wako tu'' lakini nakuhakikishia sivyo (japo ni kweli kabisa unaweza usiwe na nia yoyote ya kumtapeli mtu). Kama una idea ndogo kwenye mambo ya psychology, mara nyingi mtu anapofanya jambo ambalo hana uhakika nalo atapenda sana kuwavutia wengine walifanye.... kwa kifupi ni ule usemi wa ''kifo cha wengi...'' (japo hata wewe unaweza usijue hilo bali subconscious mind yako ndiyo inakutuma)Kwanini usinichukulie kama economic activist? Kwani hawa wanaharakati ambao kwa mfano wanapigania haki kwa mfano za watoto ama haki nyingine zozote, wanapata nini in return?
Watu wengine, tunapenda tu kutoa elimu kwa watu... Hayo unayowaza wewe kwamba labda mtu ana hidden agenda, hiyo ni uamuz wako kufikiri..
Lakini pia ukipitia uzi mzima, kuna watu kibao nimewaelekeza wakavisome hivi vitu google ili kuvielewa zaidi.. Na kwenye huu uzi sijasema natoa training wala sijadai chochote.. sasa mpaka hapo kwanini watu mnadhani kwamba nna hidden agenda?
Yaani mtu kuwa mwema nayo ni suala la kuhoji? Wengine ndo tupo hivo