TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,864
- 8,706
Ni ngumu sana hapa Dar es salaam kumjua mwanake wa mtu.Kibaya zaidi hao wanawake wenu tukiwasimamisha na kuwatongoza wanasema hawajaolewa na wala hawana watoto,Sasa kosa langu hapo mimi ni lipi?
Mwanamke ambaye anajua kabisa ameolewa na ana watoto na mume nyumbani kwake lakini mwisho wa siku unamuona barabarani unampenda unaamua kumpiga swaga,na uzuri unamuuliza kabisa "Vipi mtoto mzuri umeolewa?", Yeye anajibu "Bado sijaolewa"
Unategemea mimi nifanyeje?,Je kosa ni lake au langu?
Kwakuwa mna mzozo wenu wa kijinga huko kwenu unaamua kushika simu yake na kuangalia sms zake,Kibaya au kizuri unakuta chati zangu huko kwenye simu yake na namna tulivyopanga tuonane!
Binafsi nimewahi kusema na narudia tena kusema leo ya kwamba,Wewe na wajinga wenzio mkikusanyana ili mje mnifanyie fumanizi,nawaambieni kabisa nitawagonga wote,wewe na wajinga wenzio nitawasukumia mjegeje!
Sitokuwa na huruma kwasababu hamkunikuta na mali ya wizi,bali nyie ndiyo mmetaka kuniibia mwanamke wangu!
Mimi sitopiga kelele za mwizi bali mtachojoa (Mtavua) nguo wenyewe ili niwakarabati mmoja baada ya mwingine kwakuwa mmekuwa na Viherehere!
Shubamit!
Taarifa ni hiyo tu!