kitanywe 1
Senior Member
- Aug 3, 2020
- 183
- 386
Kuna nafasi imetangazwa vigezo ninavyo lakini niki apply inaandika Job Application FAILED.Una shida gani nikusaidie
Wanakera sana mkuu kuanzia asubuhi nishapiga sana simu ipo busy nishaotea mara 3 inaita lakini haipokelewii..Wanakera Sana hawapokei
Ni kazi gani hiyo inakataa?Kuna nafasi imetangazwa vigezo ninavyo lakini niki apply inaandika Job Application FAILED.
Wanakera sana mkuu kuanzia asubuhi nishapiga sana simu ipo busy nishaotea mara 3 inaita lakini haipokelewii..Wanakera Sana hawapokei
AFISA BIASHARA iiNi kazi gani hiyo inakataa?
AFISA BIASHARA ii
Hamna Washarekebisha sahivi ndio natupia hapa.Okay, hapo utakuwa umekosa experience. Wanataka ambao wapo na ujuzi tayari.
Sawa kila la kheri.Hamna Washarekebisha sahivi ndio natupia hapa.
Ushawapata hewani..?Asanteni Wadau Hatimae Nimefanikiwa washarekebisha.
Help Desk: +255735398259,+255784398259 || Malalamiko: +255736005511, +255679398259Ushawapata hewani..?
Kama umewapata, Itakuwa fresh kama ukiweka contact zao ulizotumia kuwapata itasaidia na wengine wenye maproblem kama hayo
Wamekwambia shida nini mkuu?Asanteni Wadau Hatimae Nimefanikiwa washarekebisha.
Good luck Mkuu.Hamna Washarekebisha sahivi ndio natupia hapa.