kitanywe 1
Senior Member
- Aug 3, 2020
- 183
- 386
Wadau Mambo vip?
Nimejaribu sana kuanzia Jumatatu Mpaka Leo Kila nikipiga simu Sekretarieti ya Ajira Simu ipo Busy na kuna muda ikifika haipatikani.
Naombeni wadau mliofanikiwa kuwapata hewani mmetumia mbinu gani? Na Muda mwingine inaita lakini haipokelewii.