Nitumie Mbinu gani Simu ipokelewe Utumishi?

Nitumie Mbinu gani Simu ipokelewe Utumishi?

kitanywe 1

Senior Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
183
Reaction score
386
Wadau Mambo vip?

Nimejaribu sana kuanzia Jumatatu Mpaka Leo Kila nikipiga simu Sekretarieti ya Ajira Simu ipo Busy na kuna muda ikifika haipatikani.

Naombeni wadau mliofanikiwa kuwapata hewani mmetumia mbinu gani? Na Muda mwingine inaita lakini haipokelewii.
 
Asanteni Wadau Hatimae Nimefanikiwa washarekebisha.
 
Mimi nikilog in kwa kutumia email wananiambia haipo na nikifungua akaunti nyingine nikaingiza namba ya nida naambiwa tayari ilishatumika
 
Ushawapata hewani..?
Kama umewapata, Itakuwa fresh kama ukiweka contact zao ulizotumia kuwapata itasaidia na wengine wenye maproblem kama hayo
Help Desk: +255735398259,+255784398259 || Malalamiko: +255736005511, +255679398259
Ndio namba zao hizo ila kupokea ndio ishu mi nadhani labda ishu yangu itakua ilisharipotiwa maana kwenye system upande wa Markerting and Media haikuwepo ila baada waliiweka pale imekaa sawa.
 
Contacts wanazoweka taasisi za umma huwa hazifanyi kazi. Hata upige mchana na usiku kucha
 
Back
Top Bottom