Nitumie mbinu gani

Nitumie mbinu gani

Huyu tayari ameshawehuka, awahi nafasi mirembe pale
Utanyooka tuu Mataga wewe
Mama ameshika usukani
Mmezoea kupiga dili Sasa mtakula mavi yenu

Nliwaambia muache hiyo tabia ya wizi hamkusikia
Pambaneni na hali zenu mataga nyie

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwezi mmoja uliopita nliachwa na ex wangu for none reson but wiki iliopita nliamua kumtafuta shost yake kupitia simu ili kumuuliza kisa na mkasa mpaka mimi kuachwa na rafiki yake akasema ajui chochote nkamwambia poa.

Ila baada ya pale yule binti amekuwa akiendelea kunitafuta ila kila napomuuliza kuhusu rafiki yake kwanza anasema urafiki wao auna muda mrefu pili yule rafiki yake ambae ni ex wangu kitabia wapo tofauti sana yule muda mwingi anachat yani simu inamuweka bize mno hata muda wa kupika hana halafu anaruka ruka yani kifupi ajatulia na mwisho ananiambia niachane nae dunia itakuja kumfunza.

Nashangaa kanizoea sana sometime nampotezea ila yeye ananitafuta tunachat sana na kuongea kwa muda mwingi hasa usiku kuanzia saa nne mpaka 6 au 7.

Sasa sijaelewa lengo hasa la huyu binti ni nini na kama kanielewa je nitumie mbinu gani kumuweka kwenye laini fasta maana mi nakuwa najistukia kumtongoza coz alikuwa shemeji yangu tena kwa marafiki zake wawili ukiachana na huyu ex wangu pia kuna rafiki yake mwingine nliwahi kumuacha kutokana na tabia zake kutokuwa nzuri.

By the way poleni kwa msiba endeleeni kuchukua tahadhali dhidi ya Corona.
Naomba namba yke nimtoe mapepo,mimi ni mtumishi
 
Unaishi Dar?
 
Wonders shall never cease in this world kifo kimesepa na akili ya mtu......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au labda alikuwa anachangia mada tofauti na hii
 
Mkuu sasa ww unataka tukushauri nn apo [emoji23][emoji23]
 
Mwezi mmoja uliopita nliachwa na ex wangu for none reson but wiki iliopita nliamua kumtafuta shost yake kupitia simu ili kumuuliza kisa na mkasa mpaka mimi kuachwa na rafiki yake akasema ajui chochote nkamwambia poa.

Ila baada ya pale yule binti amekuwa akiendelea kunitafuta ila kila napomuuliza kuhusu rafiki yake kwanza anasema urafiki wao auna muda mrefu pili yule rafiki yake ambae ni ex wangu kitabia wapo tofauti sana yule muda mwingi anachat yani simu inamuweka bize mno hata muda wa kupika hana halafu anaruka ruka yani kifupi ajatulia na mwisho ananiambia niachane nae dunia itakuja kumfunza.

Nashangaa kanizoea sana sometime nampotezea ila yeye ananitafuta tunachat sana na kuongea kwa muda mwingi hasa usiku kuanzia saa nne mpaka 6 au 7.

Sasa sijaelewa lengo hasa la huyu binti ni nini na kama kanielewa je nitumie mbinu gani kumuweka kwenye laini fasta maana mi nakuwa najistukia kumtongoza coz alikuwa shemeji yangu tena kwa marafiki zake wawili ukiachana na huyu ex wangu pia kuna rafiki yake mwingine nliwahi kumuacha kutokana na tabia zake kutokuwa nzuri.

By the way poleni kwa msiba endeleeni kuchukua tahadhali dhidi ya Corona.
Kasome uzi wa kila kimasihara utafanikiwa
 
Back
Top Bottom