Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Tazameni uhalisia wa mambo unavyoenda.
Nchi zinazokaribiana na nchi ya Kusadikika ukiangalia project zao wako very serious na hawana porojo. Ukiangalia nchi ya Kusadikika ni kama vile tuko tu shega tu
Naiona nafasi kubwa ya mwamba PK inayosifiwa kwa WAREMBO afrika nzima kupata nafasi mbadala wa nchi ya mazombi ( we zombi EEH haujui).