Niueni! Nimekaa paleee. Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa AFCON itafanyika nchi ya Kusadikika

Niueni! Nimekaa paleee. Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa AFCON itafanyika nchi ya Kusadikika

Uwezo wakufanikisha vizuri sana upo , labda muwe mnaongozwa na vilaza.
 
Hii level ya ujinga sijawahi kuiona!!!! Hv unadhan hapa EAC kuna nchi ipo-serious linapokuja suala la mpira kama Tanzania!! Ebu tulia muda utaongea.
Mpira upo huo ambao Tanzania tupo serious? CHAN tu ilibidi watu waingie bure lakini bado hawakujaa
 
Back
Top Bottom