We mboga mboga unashadadia huu ujinga unaofanyika nchini ,badilika kifikra acha kulalaHii level ya ujinga sijawahi kuiona!!!! Hv unadhan hapa EAC kuna nchi ipo-serious linapokuja suala la mpira kama Tanzania!! Ebu tulia muda utaongea.
mwambie atoe statistics nani yupo mbele ya ratibaHii level ya ujinga sijawahi kuiona!!!! Hv unadhan hapa EAC kuna nchi ipo-serious linapokuja suala la mpira kama Tanzania!! Ebu tulia muda utaongea.
Miezi 46? Kwamba AFCON itakua inachezwa huku viwanja vina endelea kujengwa?Mathematically bado kuna miezi 46 mbele kabla ya Afcon ijayo.
Muda bado braza.
Jf imejaza wapuuzi wengi sana hii miaka ya karibuni.We mboga mboga unashadadia huu ujinga unaofanyika nchini ,badilika kifikra acha kulala
Ungeni chain ya wajinga (mboga mboga ) maana sio kwa hasira hizo nutshel kam wewe ndio ambao hatuwataki nchi hiiJf imejaza wapuuzi wengi sana hii miaka ya karibuni.
Hivi nawewe ni GT ?
Miezi 46?? Siyo mwaka huu tena?Mathematically bado kuna miezi 46 mbele kabla ya Afcon ijayo.
Muda bado braza.
We Kumah nini...nani Yuko siriaz..nyie ? ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ Serious na pagale Lenu mnalolionesha kila siku...๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐Hii level ya ujinga sijawahi kuiona!!!! Hv unadhan hapa EAC kuna nchi ipo-serious linapokuja suala la mpira kama Tanzania!! Ebu tulia muda utaongea.
AFCON itafanyika vizuri sana wala usiwe na hofu yoyote ileTazameni uhalisia wa mambo unavyoenda.
Nchi zinazokaribiana na nchi ya Kusadikika ukiangalia project zao wako very serious na hawana porojo. Ukiangalia nchi ya Kusadikika ni kama vile tuko tu shega tu
Naiona nafasi kubwa ya mwamba PK inayosifiwa kwa WAREMBO afrika nzima kupata nafasi mbadala wa nchi ya mazombi ( we zombi EEH haujui).
Miezi 46 ni miaka mitatu na zaidiMathematically bado kuna miezi 46 mbele kabla ya Afcon ijayo.
Muda bado braza.