Niueni! Nimekaa paleee. Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa AFCON itafanyika nchi ya Kusadikika

Uwezo wakufanikisha vizuri sana upo , labda muwe mnaongozwa na vilaza.
 
Hii level ya ujinga sijawahi kuiona!!!! Hv unadhan hapa EAC kuna nchi ipo-serious linapokuja suala la mpira kama Tanzania!! Ebu tulia muda utaongea.
Mpira upo huo ambao Tanzania tupo serious? CHAN tu ilibidi watu waingie bure lakini bado hawakujaa
 
Chadema ni wapumbavu saana
Mnaleta mambo ya uchadema? Mamaeh...CAF wanafikiria kuahirisha michuano ya 2027....hii iwaingie kwenye medula zenu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…