okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,856
- 3,003
- Thread starter
- #21
😆😆kumuacha kwa namna ipi?Hua nashangaa sana hivi mwanaume unashindwaje kumuacha mwanamke?, Unamuonea huruma au unaogapa atakuharibia ndoa? Hebu kua mwanaume mkuu.
Pili inaonesha wewe ni hatari sana kwenye haya mambo na ulianza ukiwa bado hujakomaa kiakili, 25 years upo kwenye ndoa miaka 7, na mchepuko ulikua nae kwenye mahusiano kwa miaka 3 na ukapotezana nae mwaka mzima baada ya kuolewa, aseeh hebu kua kwanza maana bado una mengi ya kujifunza.
Man up
Alafu ishu sio kumuacha ishu ni kumfanya awe mbali na mimi kwa kuwa yeye ni mke wa mtu mpaka sasa.