Niukatae vipi mchepuko wa zamani?

Niukatae vipi mchepuko wa zamani?

Tunauliza hiviii....ulioa ukiwa na miaka 18?
😆😆😆😆🤣 Demi nimeoa nikiwa na miaka ishirini na ushee ila wife akiwa na miaka 23.

Huyo nilimjibu kulingana na alivyokuja.
 
Duh..
25 halafu tayari umo ndoani miaka 7 ?!!!
Meaning ulioa ukiwa bado mtoto🤔
Na huyo mchepuko ana umri gani?
Alafu nimeanza kutumia JF 2010.

😆😆😆🚶🚶
 
Alioa kwa mujibu wa sheria; na akifuatoliwa zaidi atakuwa na kesi ya kubaka: kufanya mapenzi na under 18
JF HAIJAVAMIWA😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🚶
 
Back
Top Bottom