Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera achana na mawasiliano ma ex wako, kwanini uasiliane naye mnaongea mpaka habari za kudinyana muda huo unaupata wapi, nakizidi mwambie nipe namba ya mmeo.[emoji38][emoji38][emoji38]nimebakiza miaka michache kufika 40years[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]
Basi kama sio simple kapambana na mchepuko wako. Huna maamuzi ya kiumeSio SIMPLE akubaliane na usimple huo
Hilo nalo ni swali mkuu? Kwa ushauri wangu katika maisha yako epuka kuwa na watoto wa nje ya ndoa utaishi kwa amani sana.[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787]maamuzi ya kiume ndo yakoje?
Haaa haaaWatu wa MBEYA ninyi khaaa[emoji38][emoji38]
Mpelekee moto ila usimtie mimbaMoja kwa moja kwenye lengo la uzi.
Nipo ndoani miaka 7, miaka 3 nyuma nilikuwa na mchepuko ambao nilidumu nao miaka 3 baadaye mchepuko ukaja ukaolewa.
Tukapotezana hewani mwaka mzima sasa umerudi upo kwao hautaki kurudi tena kwa mumewe. Kabla haujaolewa tuliahidiana kuja kuzaa watoto wawili na ikiwezekana ulikubali uwe mke wa pili.
Sasa unadai kwa mume hauendi kamwee na anataka nizae mtoto hata kama sitaki kumuoa kwa sasa. Tangu amerudi sitaki kabisa kukutana naye faragha, SABABU KUU ni kuwa hawajaachana na mume wake hivyo bado ni mke wa mtu.
Mke wa mtu na mimi ni NYEUSI NA NYEUPE.
Mliyowahi kukutwa na masaibu ya mahusiano ya aina hii mlijivuaje?
EPUKA WATOTO WA NJE??!Hilo nalo ni swali mkuu? Kwa ushauri wangu katika maisha yako epuka kuwa na watoto wa nje ya ndoa utaishi kwa amani sana.
Kama hawajaachana kaa naye mbali usijeukabokolewa mwananguMoja kwa moja kwenye lengo la uzi.
Nipo ndoani miaka 7, miaka 3 nyuma nilikuwa na mchepuko ambao nilidumu nao miaka 3 baadaye mchepuko ukaja ukaolewa.
Tukapotezana hewani mwaka mzima sasa umerudi upo kwao hautaki kurudi tena kwa mumewe. Kabla haujaolewa tuliahidiana kuja kuzaa watoto wawili na ikiwezekana ulikubali uwe mke wa pili.
Sasa unadai kwa mume hauendi kamwee na anataka nizae mtoto hata kama sitaki kumuoa kwa sasa. Tangu amerudi sitaki kabisa kukutana naye faragha, SABABU KUU ni kuwa hawajaachana na mume wake hivyo bado ni mke wa mtu.
Mke wa mtu na mimi ni NYEUSI NA NYEUPE.
Mliyowahi kukutwa na masaibu ya mahusiano ya aina hii mlijivuaje?
Kwa sasa usichukue maamuzi yeyote juu ya huyo ex.@Mwl.RCT naomba neno
Uko kwenye ndoa for 7 years na una miaka 25 ina maana ulioa na miaka 18??25years
Demi huu ushauri wako ni kazi bure okiwira akiwaza alivokua anapewa viuno vya nyani mwili wote unapata ganzi, kummaaa inamtoa mate hawezi huyu we muache tuMwambie ukweli kuwa huwezi ukatembea na mke wa mtu, simamia hilo
Hana lolote anawaza alivokua anateleleza anaishiwa nguvuEti anadai hataki kula muke ya mtu😀
Asante sana mkuu sitaacha ushauri huu🙏Kwa sasa usichukue maamuzi yeyote juu ya huyo ex.
Jipe muda zaidi wa kumsoma na kutafakari.
Utagundua mambo mengi yaliyojificha kadri muda unavyokwenda , na pia utakuja jua sababu ya yeye kukimbia ndoa yake.
Yake imeharibika kinachofata yako iko matatani. Nikuulize tu je mkeo ana shida yoyote labda?? Ile kubwa kabisa ambayo inakufanya utafute utamu wa nje?
Lakini pia je...huyu mchepuko unampenda?? As in mlishaachana akamove on and now ana uwezo wa kuhangaisha ubongo wako mpaka kuja kuandika humu?? Kuna strong points anazo si ndio?
Lastly je..dini sijui imani yako, inaruhusu kuwa na wake wawili? Maana uliconsider hyo option it seems imani yako inaruhusu..
Ila Evelyn Salt 😆😆😆😆🤣 mizaha kama hii tumewahi poteza watu uhai.Demi huu ushauri wako ni kazi bure okiwira akiwaza alivokua anapewa viuno vya nyani mwili wote unapata ganzi, kummaaa inamtoa mate hawezi huyu we muache tu