Niukatae vipi mchepuko wa zamani?

😆😆kumuacha kwa namna ipi?

Alafu ishu sio kumuacha ishu ni kumfanya awe mbali na mimi kwa kuwa yeye ni mke wa mtu mpaka sasa.
 
Mwambie "namfungulia biashara mke wangu ila hapa nimepungukiwa milioni 1 naomba"
🤣🤣🤣😆unanifanya nikumbuke enzi za Miss Chagga.

Kifupi yeye mtoto wa mkulima na fundi selemala M huwa anaisikia hapo itakuwa nanogesha Penzi tu na sipo siriasi.

Alafu mimi na yeye sote ni KUKU WA KIENYEJI.
 
Basi fanya laki 8 ili aone upo serious, sema nini nawe wataka tu kusuuza rungu unazuga zuga....hivi kimtu kama haukitaki utawaza kukiachaje??
 
Basi fanya laki 8 ili aone upo serious, sema nini nawe wataka tu kusuuza rungu unazuga zuga....hivi kimtu kama haukitaki utawaza kukiachaje??
😆😆😆jamani kusuuza Rungu ningekuja kuomba ushauri?

Kwamba saizi nikisema njoo atagoma?

🤣🤣🤣😆
 
😆😆😆jamani kusuuza Rungu ningekuja kuomba ushauri?

Kwamba saizi nikisema njoo atagoma?

🤣🤣🤣😆
Inaonekana unatamani sema tu kuna kinafsi kinashtuka kwakuwa mke wa mtu ila kumtaka unamtaka na nguvu za kumkataa haunaa
 
Asante sana Demi njia rahisi namuoondoaje.

Kumwambia akae mbali namimi kwake ni kama nyimbo nzuri masikio mwake.
Kuwa na msimamo mwambie hutaki. Au mblock kabisa ingawa najua huna ubavu huo.
Wanaume mnafanyaga makosa baadae mnakuja kujuta.
Kama unataka kumla kamle ila mawazo ya kuzaa nae au kumuoa mke wa pili Acha kabisa.
 
Bundi katua. Dalili ya jambo baya
 
Kuwa na msimamo mwambie hutaki. Au mblock kabisa ingawa najua huna ubavu huo.
Wanaume mnafanyaga makosa baadae mnakuja kujuta.
Kama unataka kumla kamle ila mawazo ya kuzaa nae au kumuoa mke wa pili Acha kabisa.
Demi nakufahamu jf tangu 2014 hakika umeongea kama Demi yule yule mtu mzima.

Ipo hivi mzee mwenzangu kama angesingeolewa kiukweli angekuwa mke wapili.

Kwa kuwa ameolewa kiukweli sina mpango wa kusuuza Rungu kama Evelyn Salt alivyotamka.

Ninachotaka ni namna gani ntamuondoa kifikla kwangu pasipo kuacha tone la hitilafu katika ndoa yangu.

Maana sio mchepuko ambao utautoa meno alafu usirudi kwako andika no.
 
Mwambie ukweli kuwa huwezi ukatembea na mke wa mtu, simamia hilo
 
Mwambie ukweli kuwa huwezi ukatembea na mke wa mtu, simamia hilo
😆😆😆anakuambia mimi sio mke mtu.

Hata wazazi wake amewaambia yeye hana mume kuanzia sasa.

Wazazi wamemshauri afuate talaka akawajibu talaka kama mume anataka aandike ije kwao lakin sio yeye aifuate. AMEMALIZA.

YUPO TAYARI KUFA ILA SIO KURUDI KWA MUME.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…