Niulize chakula chochote nikupe dondoo ya namna ya kuandaa!!

Hili baada ya kupata hizo Sea Foods unatakiwa kuwa na kiungo kinaitwa Seafood Boil ukishakuwa nacho halina kazi ni kuosha vizuri mostly zina mchanga sana kisha unachemsha na viungo uvipendavyo kisha unaongeza hiyo sea food boil ambayo inasaidia kuongeza ladha na kukata shombo sea foods hua zina shombo kali zana.
 
Hivi matembele yanakatwakatwa au unapika bila kuyakata?

Hebu shusha material hapa jinsi ya kuandaa mboga ya matembele.
 
Hili baada ya kupata hizo Sea Foods unatakiwa kuwa na kiungo kinaitwa Seafood Boil ukishakuwa nacho halina kazi ni kuosha vizuri mostly zina mchanga sana kisha unachemsha na viungo uvipendavyo kisha unaongeza hiyo sea food boil ambayo inasaidia kuongeza ladha na kukata shombo sea foods hua zina shombo kali zana.
Asante
 
Pishi lina mlolongo hili kusema ukweli nilishajaribu ila halikutoka poa na sikupenda kujifunza zaidi sababu lina mlolongo mrefu
Leo nataka kula ndizi mshale inayochanganywa na nyama ya Ng'ombe, hebu nipe dondoo nataka kupika mwenyewe leo.
 
Nielekezeni, hivi ule wali unakuaga na rangi rangi kijani,nyekundu njano n.k na unapikwa ktk sufuria moja lakini kila ile rangi inakaa palepale upande ambapo mpishi amekusudia na ukichanganya kila punje inabaki na rangi yake hua unapikwaje??

2: kupika bagger na pizza (niwekee na picha kabisa maana navisikiaga tu sivijui)

3:hivi ule mchele unaotumika kupika biriani hua unalimwa wapi na mbegu yake inapatikana wapi,au ule mchele hua unatengenezwaje mpaka unakua vile?

.4: tende za halua zile wanakulaga waslam kipindi cha mfungo hua zinapikwaje mpaka zinakua vile?
 
MAHITAJI PISHI LA CHAPATI ZA MAJI

.Unga wa ngano nusu
.Mayai mawili
.Maziwa vijiko viwili vya chakula
.Chunvi robo kijiko cha chakula
.Caroti
.Blueband nusu kijiko cha chakula

NJIA
.Chukua chombo safi weka unga kisha weka maji ya uvuguvugu kisha changanya kwa kukoga
.Weka mayai kisha endelea kukoroga kisha kwangua karoti kiasi chamganya pamoja
.Weka chunvi kiasi kisha koroga ili kupata mchanganyiko mzuri,Baada ya hapo mchanganyiko wako utakuwa tayari
.Chukua kikombe au kijiko kikubwa chota size ya chapati unayohitaji kisha choma[kaanga]pande zote mbili,Pika hadi umalize uchanganyiko wote uliyoandaa
Hii ngoja niifanyie kazi asubuhi
 
MPk leo nashindwa kupika wali utoke mmoja mmoja yaani
 
Kama unapenda kufahamu kuhusu vyakula mbalimbali na hujui namna ya kuviandaa njoo kwenye uzi huu uliza nitakujuza kwa wakati.
Nataka menu ya viazi mviringo na mabichwa ya sangara wa kukaanga nipate rost moja amazing yenye rojo ya kutosha, hii ndio supper ninayopenda leo.
 
MAHITAJI PISHI LA CHAPATI ZA MAJI

.Unga wa ngano nusu
.Mayai mawili
.Maziwa vijiko viwili vya chakula
.Chunvi robo kijiko cha chakula
.Caroti
.Blueband nusu kijiko cha chakula

NJIA
.Chukua chombo safi weka unga kisha weka maji ya uvuguvugu kisha changanya kwa kukoga
.Weka mayai kisha endelea kukoroga kisha kwangua karoti kiasi chamganya pamoja
.Weka chunvi kiasi kisha koroga ili kupata mchanganyiko mzuri,Baada ya hapo mchanganyiko wako utakuwa tayari
.Chukua kikombe au kijiko kikubwa chota size ya chapati unayohitaji kisha choma[kaanga]pande zote mbili,Pika hadi umalize uchanganyiko wote uliyoandaa
Sio lazima kuweka blue band, na maziwa, mzunguko unakuwa., Kwani keki hiyo Tena.
 
Back
Top Bottom