Hili baada ya kupata hizo Sea Foods unatakiwa kuwa na kiungo kinaitwa Seafood Boil ukishakuwa nacho halina kazi ni kuosha vizuri mostly zina mchanga sana kisha unachemsha na viungo uvipendavyo kisha unaongeza hiyo sea food boil ambayo inasaidia kuongeza ladha na kukata shombo sea foods hua zina shombo kali zana.
Hivi matembele yanakatwakatwa au unapika bila kuyakata?Hili baada ya kupata hizo Sea Foods unatakiwa kuwa na kiungo kinaitwa Seafood Boil ukishakuwa nacho halina kazi ni kuosha vizuri mostly zina mchanga sana kisha unachemsha na viungo uvipendavyo kisha unaongeza hiyo sea food boil ambayo inasaidia kuongeza ladha na kukata shombo sea foods hua zina shombo kali zana.
JelebiKama unapenda kufahamu kuhusu vyakula mbalimbali na hujui namna ya kuviandaa njoo kwenye uzi huu uliza nitakujuza kwa wakati.
AsanteHili baada ya kupata hizo Sea Foods unatakiwa kuwa na kiungo kinaitwa Seafood Boil ukishakuwa nacho halina kazi ni kuosha vizuri mostly zina mchanga sana kisha unachemsha na viungo uvipendavyo kisha unaongeza hiyo sea food boil ambayo inasaidia kuongeza ladha na kukata shombo sea foods hua zina shombo kali zana.
Leo nataka kula ndizi mshale inayochanganywa na nyama ya Ng'ombe, hebu nipe dondoo nataka kupika mwenyewe leo.Pishi lina mlolongo hili kusema ukweli nilishajaribu ila halikutoka poa na sikupenda kujifunza zaidi sababu lina mlolongo mrefu
Hii ngoja niifanyie kazi asubuhiMAHITAJI PISHI LA CHAPATI ZA MAJI
.Unga wa ngano nusu
.Mayai mawili
.Maziwa vijiko viwili vya chakula
.Chunvi robo kijiko cha chakula
.Caroti
.Blueband nusu kijiko cha chakula
NJIA
.Chukua chombo safi weka unga kisha weka maji ya uvuguvugu kisha changanya kwa kukoga
.Weka mayai kisha endelea kukoroga kisha kwangua karoti kiasi chamganya pamoja
.Weka chunvi kiasi kisha koroga ili kupata mchanganyiko mzuri,Baada ya hapo mchanganyiko wako utakuwa tayari
.Chukua kikombe au kijiko kikubwa chota size ya chapati unayohitaji kisha choma[kaanga]pande zote mbili,Pika hadi umalize uchanganyiko wote uliyoandaa
Nataka menu ya viazi mviringo na mabichwa ya sangara wa kukaanga nipate rost moja amazing yenye rojo ya kutosha, hii ndio supper ninayopenda leo.Kama unapenda kufahamu kuhusu vyakula mbalimbali na hujui namna ya kuviandaa njoo kwenye uzi huu uliza nitakujuza kwa wakati.
ELezea upikaji wa Pizza,bagger na sandwichPishi lina mlolongo hili kusema ukweli nilishajaribu ila halikutoka poa na sikupenda kujifunza zaidi sababu lina mlolongo mrefu
Sio lazima kuweka blue band, na maziwa, mzunguko unakuwa., Kwani keki hiyo Tena.MAHITAJI PISHI LA CHAPATI ZA MAJI
.Unga wa ngano nusu
.Mayai mawili
.Maziwa vijiko viwili vya chakula
.Chunvi robo kijiko cha chakula
.Caroti
.Blueband nusu kijiko cha chakula
NJIA
.Chukua chombo safi weka unga kisha weka maji ya uvuguvugu kisha changanya kwa kukoga
.Weka mayai kisha endelea kukoroga kisha kwangua karoti kiasi chamganya pamoja
.Weka chunvi kiasi kisha koroga ili kupata mchanganyiko mzuri,Baada ya hapo mchanganyiko wako utakuwa tayari
.Chukua kikombe au kijiko kikubwa chota size ya chapati unayohitaji kisha choma[kaanga]pande zote mbili,Pika hadi umalize uchanganyiko wote uliyoandaa