Baba Vladmir
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 373
- 627
Pamoja na tafiti nyingi katika mimea na mitishamba, bado mafanikio hayajapatikana katika kutatua changamoto ya HIV.Naomba kujua mimea inayotibu HIV
Mitishamba inayotibu bawasili ipo ya aina mbalimbali, lakini majina yake huambatana na lugha ya eneo husika. Muhimu ni kuwa ili uweze kupona bawasili lazima upate dawa ya kunywa itakayopita kwenye utumbo mkubwa ambapo ndiyo viotea halisi vya nyama hutokea.Dawa gani asili ya bawasiri
Ambayo ni ipi mkuu....na je haiwezi kuwa na athari yoyoteMitishamba inayotibu bawasili ipo ya aina mbalimbali,lakini majina yake huambatana na lugha ya eneo husika.Mhimu ni kuwa ili uweze kupona bawasili lazima upate dawa ya kunywa itakayopita kwenye utumbo mkubwa ambapo ndiyo viotea halisi vya nyama hutokea.Dawa ya kupaka husaidia tu kuondoa viotea vya nyama kwa wakati huo lakini haiwezi kusaidia wakati wote,kwa hiyo ili kumaliza tatizo kabisa lazima pia upate dawa ya kunywa.
Sawa!Nipatie dawa ya kutibu vidonda vya tumbo +bawasiri na namn ya kutumia
Je karafuu ina madhara ukiwa unaitumia kila kisu kama chaiMitishamba inayotibu bawasili ipo ya aina mbalimbali,lakini majina yake huambatana na lugha ya eneo husika.Mhimu ni kuwa ili uweze kupona bawasili lazima upate dawa ya kunywa itakayopita kwenye utumbo mkubwa ambapo ndiyo viotea halisi vya nyama hutokea.Dawa ya kupaka husaidia tu kuondoa viotea vya nyama kwa wakati huo lakini haiwezi kusaidia wakati wote,kwa hiyo ili kumaliza tatizo kabisa lazima pia upate dawa ya kunywa.
Hapana! Karafuu haina madhara isipokuwa na tiba lishe yenye faida lukuki. Maumivu ya tumbo, misuli, meno. Mafuta yake mazuri katika kulainisha na kutibu ngozi na mambo mengine mengi.Je karafuu ina madhara ukiwa una itumia kila kisu kama chai
Hiyo dawa huwa inatibu tatizo kabisa au ni kwakipindi fulani tuMitishamba inayotibu bawasili ipo ya aina mbalimbali,lakini majina yake huambatana na lugha ya eneo husika.Mhimu ni kuwa ili uweze kupona bawasili lazima upate dawa ya kunywa itakayopita kwenye utumbo mkubwa ambapo ndiyo viotea halisi vya nyama hutokea.Dawa ya kupaka husaidia tu kuondoa viotea vya nyama kwa wakati huo lakini haiwezi kusaidia wakati wote,kwa hiyo ili kumaliza tatizo kabisa lazima pia upate dawa ya kunywa.
Ndiyo,ipo mitishamba inayotibu kabisa na kumaliza tatizo hilo.Bawasili siyo ugonjwa wa kurithi.Hiyo dawa huwa inatibu tatizo kabisa au ni kwakipindi fulani tu
Je bawasiri huwa inarithi?
Plus pressure.Tiba ya kisukari ni ipi hasa??