Baba Vladmir
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 373
- 627
- Thread starter
- #41
Mjafari hautibu nguvu za kiume! Mjafari hushughulika zaidi na matatizo ya tumboni kama tumbo kuuma,kujaa gesi na unasaidia sana kwa wenye vidonda vya tumbo ukitumiwa kwa usahihi endapo maandalizi yake ni madhuri.Unawezaje kutumia unga wa mjafari ni kweli unatibu nguvu za kiume na je ni sawa na vumbi la kongo (booster)au zinatibu kidogodogo
Huwezi kutibu nguvu za kiume kwa dawa ya kupaka kwenye uume,maana nguvu za kiume ni tatizo la mfumo.