Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

Jambo watanzania wenzangu!!

Katika kubadilishana maarifa ninaomba kuulizwa chochote juu ya dawa asili za mimea na mitishamba katika kutibu magonjwa mbalimbali.

NB:Maswali hayo yasihusishe ramli na mambo ya kishirikina,ama mambo dhahania,maswali yajielekeze katika magonjwa ya kila siku ambayo tunaishi nayo na yanatusumbua.
Dawa gani inasaidia kuwashwa mwili, ukijikuna, unaacha alama mwilini?
 
Unaruka hii
Tiba ya pressure huhusisha kwanza kufahamu chanzo chake,maana pressure ina vyanzo vingi.
Inaweza kuwa ni moyo umepanuka,kwa maana ya vyumba vyake,imaweza kuwa mishipa yake imepanuka ama imeziba,inaweza pia kuwa pia damu ni chafu kwa maana ya lehemu nyingi hivyo haisafiri kwa wepesi kufika sehemu husika na vingine vingi.Yote kwa yote mitishamba huweza kupambana na tatizo la moyo vizuri sana maana kuna mimea ambayo,husafisha kabisa damu kwa maana ya kuondoa cholestro,kuzibua mirija ya moyo nk
 
Jambo watanzania wenzangu!!

Katika kubadilishana maarifa ninaomba kuulizwa chochote juu ya dawa asili za mimea na mitishamba katika kutibu magonjwa mbalimbali.

NB:Maswali hayo yasihusishe ramli na mambo ya kishirikina,ama mambo dhahania,maswali yajielekeze katika magonjwa ya kila siku ambayo tunaishi nayo na yanatusumbua.
Mkuu Baba Vladmir nina tatizo la kumeza chakula
sina raha ya kula kwa sasa chakula kidogo inaweza kunichukua hata lisaa lizima kukimaliza kwani yabid nitafune sana na nile taratibu
hata maji ya kunywa nakunywa kwa shida kuna sehemu kwenye koo nikila chochote nahisi kinaenda kukwama
 
Naomba kujua dawa ya asili ya kutibu kilimi cjui kiswahili kingine naweza kusema vip ,hapa kwenye koromeo kimerefuka kidogo hivyo kinasababisha kukohoa sana ,nini tiba yake tofaut na kukikata
Kinaitwa kimeo
 
Jambo watanzania wenzangu!!

Katika kubadilishana maarifa ninaomba kuulizwa chochote juu ya dawa asili za mimea na mitishamba katika kutibu magonjwa mbalimbali.

NB:Maswali hayo yasihusishe ramli na mambo ya kishirikina,ama mambo dhahania,maswali yajielekeze katika magonjwa ya kila siku ambayo tunaishi nayo na yanatusumbua.
Naomba kujua kuhusu Mtamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zipo dawa za mitishamba,lakini majina yake huendana na eneo husika,sijajua wewe upo mkoa gani nikuelekeze kulingana na lugha ya eneo husika uweze kujitibu.
nipo mkoa wa Daressalaam wilaya ya temeke kata ya chang'ombe
 
Pamoja na tafiti nyingi katika mimea na mitishamba,bado mafanikio hayajapatikana katika kutatua changamoto ya HIV.
Kuna mzee iringa anatibu ukimwi na watu wanapona hiyo sawa ukiiona bi nyeupe unaeza sema ni mtindi
 
Back
Top Bottom