Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

Ng'ocha ngoko
Kumbwa mbezo nk

Mitishamba hiyo huhusisha kuimarisha misuli ya uume iliyolegea na kuifanya imara,huondoa chango la kiume ambalo ndilo chanzo hasa cha maumbile kusinyaa! Hurekebisha homoni ya kiume na hivyo huongeza maradufu na ni tiba ya nguvu za kiume kama ikiandaliwa katika mazingira sahihi na kutumiwa kwa weledi
Mkuu inapatikana wapi hii mitishamba
 
Nini tiba ya uume kutosimama kutokana na tatizo la kujichua la muda mrefu?
 
Ng'ocha ngoko
Kumbwa mbezo nk

Mitishamba hiyo huhusisha kuimarisha misuli ya uume iliyolegea na kuifanya imara,huondoa chango la kiume ambalo ndilo chanzo hasa cha maumbile kusinyaa! Hurekebisha homoni ya kiume na hivyo huongeza maradufu na ni tiba ya nguvu za kiume kama ikiandaliwa katika mazingira sahihi na kutumiwa kwa weledi
ng'ocha ngoko
nakogo pandekela hale nkoy, nilagelage bhageshi
 
Unga wa mlonge naweza kuchanganya na mchaichai na kuchemsha iwe chai katika kujitibu ?
 
Tafadhali Naomba kufahamu Dawa ya kutibu fangasi na Minyoo
 
Naomba dawa ya uti sugu kwa mwanaume iliyoshindikana kutibika hospital yenye muda wa miaka 4
UTI sugu(maambukizi sugu kwenye njia ya mkojo) wakati mwingine huweza kiathiri kibofu na hata mpaka kwenye figo,na inapofikia hatua hiyo inakuwa hatari zaidi na uponaji wake unakuwa mgumu sana unaweza kumeza Antibiotic za kila namna bila mafanikio.Kuna Mitishamba ambayo kama imevunwa na kuandaliwa kwa weledi huweza kufuta kabisa bakteria wote kwenye njia za mkojo na kuweka kinga imara ndani ya wiki mbili mpaka mwezi.
 
naomba kufahamaishwa tiba ya vidonda vya tumbo hasa asidi na gesi tumboni
Zipo dawa za mitishamba,lakini majina yake huendana na eneo husika,sijajua wewe upo mkoa gani nikuelekeze kulingana na lugha ya eneo husika uweze kujitibu.
 
Back
Top Bottom