Baba Vladmir
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 373
- 627
- Thread starter
- #181
Wakati wa balehe ulipata mabadiliko ya maumbile ya uume wako?? Maana kwa kawaida unapobalehe ndipo tunategemea kuona extension ya uume wako.Kama ulipata manadiliko hayo maana yake uko sawa,ila kuna case nyingine.Mi nimejikuta nipo hivi. Sasa hapo nitajuaje kama ni mipango ya Mungu au chango? Punyeto siyo mambo yangu
Unapokuwa na chango,kuna dalili ambazo unaweza kuwa unazipata! Mfano unaweza kuhisi maumivu sehemu ya kiuno cha haja kubwa kama vile kuna kitu kinakuchoma,au kama unabanwa haja lakini yenye hisia za maumivu,maumivu hayo hutokea kwa dakika chache na baadaye hupotea hali hiyo inaweza kuwa inajitokeza kwa range ya muda mfupu au ndefu kutegemeana na mazingira na hali ya hewa.Maumivu ya korodani na wakati mwingie sehemu za kiuno kwenye location ya figo.Tumbo kuunguruma sehemu za chini n.k.Hali hii hudumaza uume na kuufanya kurudi ndani kadri ya siku na tatizo linavyokua bila tiba.Na hili limekuwa tatizo kubwa kwa watu wengi ambao wanalalamika nguvu za kiume pia.Ukiwa na changamoto hii hata kama uume utakuwa na ukubwa sawa,lazima nguvu za kiume itakuwa tatizo.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app