Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

Nini nitumie kutibu hii
 
Naipataje hii na ni bei gan
Natoa tahadhali hii nisumu . Ukiamua kutumia niwewe ,tumia ukijua kua nisumu.
Inaweza kua namadhara kwa ngozi Yako huko mbele. Hakikisha unawalinda watoto kama unao usiwapake.
 

Attachments

  • IMG_20220820_195022_329.jpg
    371.6 KB · Views: 28
  • IMG_20220814_023813_376.jpg
    532.1 KB · Views: 26
N

Jinsi ya kuipata hyo Dawa kk.
 
N



Jinsi ya kuipata hyo Dawa kk.
Inapatikana katika mapori mbalimbali hapa nchini.Inatakiwa kuvunwa na kuandaliwa katika mazingira yanayotakiwa ili kuepusha kupoteza ubora wake.Kama huwezi kufanya hivyo na unahitaji basi unaweza kuwasiliana nami.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Naomba tusaidie et dawa ya PID
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…