GITWA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,572
- 1,781
Tuwekee ingredients zake hapa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwekee ingredients zake hapa mkuu
Nini nitumie kutibu hiiJambo watanzania wenzangu!!
Katika kubadilishana maarifa ninaomba kuulizwa chochote juu ya dawa asili za mimea na mitishamba katika kutibu magonjwa mbalimbali.
NB:Maswali hayo yasihusishe ramli na mambo ya kishirikina,ama mambo dhahania,maswali yajielekeze katika magonjwa ya kila siku ambayo tunaishi nayo na yanatusumbua.
Dawa inayoshusha Sukari mwilin
Wakati unasubili kutibiwa, paka hiyo sumu. Hautojuta Bali, utakuja kunishukuru .Nini nitumie kutibu hiiView attachment 2385203
Naipataje hii na ni bei ganWakati unasubili kutibiwa, paka hiyo sumu. Hautojuta Bali, utakuja kunishukuru .View attachment 2386375
Hii inauzwa 1000 , unachanganya kwenye mafuta yakupaka 25 grams jumla haizid 1500tsh.Naipataje hii na ni bei gan
Natoa tahadhali hii nisumu . Ukiamua kutumia niwewe ,tumia ukijua kua nisumu.Naipataje hii na ni bei gan
Ingredients wakati majina ni ya kienyeji,haziwezi kukusaidia kufahamu chochote.Ukihitaji tuwasiliane.Tuwekee ingredients zake hapa mkuu
Nini tiba ya uume kutosimama kutokana na tatizo la kujichua la muda mrefu?
Wahi Hospital ukatolewe
Dawa ipo lkn aliyonayo yupo Mwanza nimeshuhdia ndgu zang weng wameacha hiyo nna uhakika nayo ,jNatafuta dawa ya kuacha pombe kabisa
Ng'ocha ngoko
Kumbwa mbezo nk
Mitishamba hiyo huhusisha kuimarisha misuli ya uume iliyolegea na kuifanya imara,huondoa chango la kiume ambalo ndilo chanzo hasa cha maumbile kusinyaa! Hurekebisha homoni ya kiume na hivyo huongeza maradufu na ni tiba ya nguvu za kiume kama ikiandaliwa katika mazingira sahihi na kutumiwa kwa weledi
Jinsi ya kuipata hyo Dawa kk.Ng'ocha ngoko
Kumbwa mbezo nk
Mitishamba hiyo huhusisha kuimarisha misuli ya uume iliyolegea na kuifanya imara,huondoa chango la kiume ambalo ndilo chanzo hasa cha maumbile kusinyaa! Hurekebisha homoni ya kiume na hivyo huongeza maradufu na ni tiba ya nguvu za kiume kama ikiandaliwa katika mazingira sahihi na kutumiwa kwa weledi
Inapatikana katika mapori mbalimbali hapa nchini.Inatakiwa kuvunwa na kuandaliwa katika mazingira yanayotakiwa ili kuepusha kupoteza ubora wake.Kama huwezi kufanya hivyo na unahitaji basi unaweza kuwasiliana nami.N
Jinsi ya kuipata hyo Dawa kk.
Naomba tusaidie et dawa ya PIDJambo watanzania wenzangu!!