Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

I'm not an expert. But after viewing and analyzing this post from beginning to end, line by line, word by word, letter by letter. I came to the conclusion and i can say that i can't say anything because as i said at the beginning, I'm not an expert.
🥱😆😂🤸
 
Mkuu dawa yake n nn kw tulioathrika
Dawa ipo.Ni mchanganyiko wa dawa za mimea zenye uwezo mkubwa wa kurudisha maumbile na misuli iliyoathirika katika hali ya awali.Kama ni miongoni mwa waathirika usisite kunitafuta.Lakini jambo kubwa,amua kuacha sasa ili kuepuka fedheha.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Acha kudanganya vijana mkuu haina madhara hii kitu japokua mimi sifanyi ila haina madhara
 
Nimetaka uwape elimu pia ndugu muandishi, me ni ME.
 
Dada zenu wakishaanza kuvuka umri wa kuolewa bila ya kuolewa wala kuwa na ma boi frendi ndiyo mnaamua kujitolea kuwatafutoa wenzi kwa kufungua nyuzi za kuwatisha vijana?
Wailizeni vizuri matatizo waliyo mao wao. Watu wamexoa fisting unadhani hata Mandingo atawaweza?
 
Umesoma nilichoandika au umeamka na mapombe ya jana
Watu wanatumia gharama kubwa kujitibu hili jambo na bado wanahangaika halafu wewe unasema haina madhara.Tunaandika kwa kutumia ushahidi wa utafiti tunaoufanya.Hatukurupuki tu kama unavyofikria.Wewe ulitaka watu waende hadharani kujitangaza kuwa wamepata madhara baada ya kujichua muda mrefu ndiyo ujue kuna madhara??

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Endelea nayo! Kupanga ni kuchagua.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Umesoma nilichoandika au umeamka na mapombe ya jana
hakuna utafiti wa kisayansi ulothibitisha hilo hata WHO hakuna statement ambayo imewah toa kuhusu madhara yake acha vijana waenjoy kaka we inakuuma nini au naww ni muhanga wa punyeto ??
 
Kati ya vyote ulivyoandika cha kweli ni kimoja tu.... Kupunguza hisia la kufanya tendo la ngono tena hyo inakuwa ni addiction tu..

Hakuna ushahidi wa kisayansi unayoelezea hayo yote ulioandika hapo
 
Ni lini WHO walithibisha kuwa ushoga una madhara??

Asubuhi njema mkuu[emoji125][emoji125]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kati ya vyote ulivyoandika cha kweli ni kimoja tu.... Kupunguza hisia la kufanya tendo la ngono tena hyo inakuwa ni addiction tu..

Hakuna ushahidi wa kisayansi unayoelezea hayo yote ulioandika hapo
Vipi kuhusu misuli unayoilazimisha kufanya jambo lisilo asili yake,yenyewe inabaki salama??

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…